Mlevi

Mlevi

Swat

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2012
Posts
4,201
Reaction score
2,003
Mlevi mmoja alikuwa anakunywa kwenye bar iliyokuwa ghorofani-ghorofa ya tatu. Kwa utundu wake na ulevi akaenda kwenye kingo ya ukuta iliyokuwa fupi na ghafla akateleza na kuanguka mpaka chini ya jengo. Ghafla watu wakajaa kwa kusikia kishindo. Wakauliza, "nini kimetokea hapa". MLEVI: (Akinyanyuka na kujifuta vumbi),"sijui,hata mimi ndio nimefika sasa hivi."
 
hahahahaha. kama kuna alieona chezo lazima azimie
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom