Mlevi na mlokole.

Jaguar

JF-Expert Member
Mar 6, 2011
3,438
1,025
Siku moja mlevi akiwa chakali alikaa siti moja na mlokole.Mlokole akamwangalia kisha akasema,"mpendwa unakwenda motoni".Mlevi alipoambiwa maneno hayo, akapayuka,"dereva nishushe,mi nilifikiri unaenda kariakoo kumbe unaenda motoni!".
 
Alivyoshuka tu kwenye daladala, akaingia bar ya jirani, akapiga supu na za baridi mbili kwanza ndo akapata akili.
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom