Mlevi, mzee wa kupiga hesabu baada ya matumizi

Pombe pombe pombe nakuita Mara 3 nilikaa miaka 4 bila kunywa pongwe siku moja jion Niko na kabaiskel nafanya mazoez nakunja Kona ya Kwanza kabar haka hapa maraaaaa paaap nasikia " classmate am happy to see you ,,,you are warmly welcome " najuta kuifuatisha hii kauli.


Ile nakaaa katika kiti tu Safar 8 mezan paaaap hapo nikajua Safar moja huanzisha nyingne sijui nilifika vip Atm na nilichokuwa nataka enda kufanya sikwenda nikajikuta naamka home miguu Ina matope kabaiskel kangu kamepinda Sterling yake saa Saba mchana wife kashika tama jicho kalitoa balaaaaa nikajua Leo nafwaaaaaa

Siku nakuja pewa taarifa kumbe maofisa wa polisi wakiwa Doria waliniona na wakawasiliana na wife kupitia simu yangu mpaka wakafika kwangu

NB: PENDEN KUNYWA MAENEO YA NYUMBANI MNAPOKAA,

MSIWEKE SIMU ZENU PASSWORD HASA UKIWA MAENEO YA NJE YA NYUMBANI

Vita kubwa tunayo ishindwa Ni Vita ya nafs na vile tunavyokutana navyo
 
Daah nami nitoe changu siku tuko pande fulani niko mwenyewe napiga maji mfukoni nina 2k nikasema napiga ugarii kitimoto kisha nashushia serengeti lite za ten jumla 14 buku la bado itimie 15, wee nafika bia ya tano jamaa angu akaniita jina langu la utanii alinipigia simu, wee tajiri mtoto uku wapiii
aisee ukiniita hilo jina naweza kukuhonga hadi bandama
bwana wee nikamwambia njoo Gwambina tulitoka saa 11 alfajiri baridi kinoma kufika home pombe imekata nimebakiwa na 69 na hiyo hela ilitakiwa nimpatie wife alikuwa anaenda safari kikazii aisee bado siku nyingine nikaanguka kuteguka mkono wa kulia na mguu nikajikuta niko chini ya karafati nimetulia kabisaa
 
Hata kama hakuna access ya kutoa hela mlevi hakosagi mbinu ya kupata hela ya kunywa kama ameishiwa atapambana hadi apate ya kukidhi haja yake.
Huu ni ukweli, Kuna kipindi nilikaa chini kucheki vile vikaratas wanatoaga mawakala wa CRDB ukitoa pesa aisee zaidi ya 4M ndani ya wiki jamani na wakati huo Natakiwa kwenda likizo. Ilikuwa ikifika muda nimeishiwa bar namuita boda anipeleke ATM yoyote hata Kama ipo KM 30 lazima tufike kulalake.
 
Sijaacha mstari.

Ila wanaume tumeumbwa mateso kuhangaika.

Bata lazima aisee.
 
Mulemule mzee dah
ila aftermath hua simanzi sana, mi huwa natumia wiki nzima kurikava!

Unakuta ijumaa nina 200k,jmos nakurupuka na 25k na madusko dahh..ila raha sana
 
Daah huu uzi naosoma nikimwagilia moyo, ni full burdani yani!
Soon nabadilisha kiwanja, lakini lazima nipitie ATM nivute kama 300k hivi, muda kidogo kabla nilivuta 200k naona haitoshi!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…