Jaguar
JF-Expert Member
- Mar 6, 2011
- 3,438
- 1,026
(MGAMBO)>:Aroo,kwanini unakunywa gongo mchana mchana tena hadharani?,hii nchi ya babako? (MLEVI)>:Na wewe kwa nini unanifokea mchana mchana tena hadharani,hii nchi ya babako? (MGAMBO)>Mh! si bure,mbona anajiamini namna hii,ngoja nimwache niondoke zangu,asije akawa mtoto wa mtu mzito serikalini.