wa stendi
JF-Expert Member
- Jul 7, 2016
- 26,597
- 29,530
Float switch ni switch inayotumia umeme inayofungwa ndani ya tank la maji ili kuzima na kuwasha pump pale maji yanapopungua ndani ya tank.
Yaani ufanyaji wake wa kazi ni kuwa maji yakijaa kwenye tank inalala flat inarudisha umeme/ moto kwenye control box na kufanya control box izime pump,na maji kwenye tank yakipungua kadri yanashuka kuisha kwenye tank inaning'inia na hapo hapo ikoning'inia inaruhusu umeme kuwasha pump na kujaza tena maji.
Swali hapa ni je?humu ndani kwenye float switch hivi kuna kitu gani kinafanya hayo mawasiliano hayo mawasiliano wakati umeme na maji havielewani.