Yaani husikilizwa vipi mara tatu?Shauri husikilizwa mara tatu na asipotokea kwa siku zote kesi unafutwa na mtuhumiwa anakuwa huru
Kama ni la madai hata siku ya kwanza hasa high court laweza ondolewa...huku mahakama za chini mara 3 linafutwa for want of prosecution
Kwenye jinai au madai?Naomba nijuzwe kisheria, shitaka limefika mahakamani, ikatokea mlalamikaji ajatokea mahakamani kwa sababu anazozijua mwenyewe, kesi itakuaje hapo!
jinaiKwenye jinai au madai?
Asante mkuu,na mi nna swali,,,, IVI MTU AKIHUKUMIWA KIFUNGO AU FAINI KWA KOSA LA JINAI,na ikatokea akalipa faini kuepuka kifungo, je huyo MTU anaweza akagombea nafasi yoyote ya uongozi,au sheria itakuwa inambana
kama ni jinai hutoweza kugombea,kwa sababu sheria inasema "asiwe amekutwa/na kumbukumbu ya kutiwa hatiani kwa kosa lolote la jinai". Sasa endapo utapigwa faini maana yake ulikutwa na hatia ya hilo kosa(you are convict),so you are disqualified as such.jinai
kama ni jinai hutoweza kugombea,kwa sababu sheria inasema "asiwe amekutwa/na kumbukumbu ya kutiwa hatiani kwa kosa lolote la jinai". Sasa endapo utapigwa faini maana yake ulikutwa na hatia ya hilo kosa(you are convict),so you are disqualified as such.
mkuu chunga sana namna unavyoishi uko mtaani kwenu ili kulinda reputation yako