Mkwawa High School mpo?

duu namkumbuka mgimwa na vile vimikate tukawa tunaviita vimgimwa?
jamani tuwasiliane tuwe kama tuna gathering mnajua hilo ni bonge ya skuli
nakumbuka kombolela la baunsa kwa wale wa maghembe east na west
 
Ebwana kwa wale Mkwawans, nashukuru kwa hii thread na michango iliyotolewa, maana nimekumbuka tulipokuwa tukiyaita Maandazi ya Makanyahio kule kwa mzee Chuwa na Nelkon mara MABANZI, walimu wakishtukia yataitwa MAUA basi ikawa ndiyo mabadiliko ya majina kila walimu wanapogundua. Nakumbuka kule Shaban East na West ndiyo paliitwa Shabani DUME Mwl Ngimba na Masatu wakifanya kazi kurekebisha tabia
 
duu namkumbuka mgimwa na vile vimikate tukawa tunaviita vimgimwa?
jamani tuwasiliane tuwe kama tuna gathering mnajua hilo ni bonge ya skuli
nakumbuka kombolela la baunsa kwa wale wa maghembe east na west
mercelly mwakin,
Umenikumbusha Baunsa tulimuita Mombafy na mambo yake yakusimamia Bustani za Mboga mboga, Si ndiyo Mwl Mgaya vile?
 
baada ya miaka kadhaa tunakumbuka kule tulikopita tena kwa kijasho jembamba
 
AISEE JE UNAWAKUMBUKA WAFUATAO koya yawe,ngawira,jamal,sir martin,furaha nyunza,mag 2 pac, mac lusiv,don king penj,pablo escobar amede,peter philip dr mutton,george munich shumbusho,dk jre nangolo,gwamaka, elly m,gosbert nyenyeri,kyande sal,john mchina,aneth k,july m,devotha,tumain lup and other dog pounds,amana m,hulda,anthny mark bila kumsahau kasala muganda kantra.
 
Nashukuru sana kwa mafaza wa miaka hiyo ya 70's pale Mkwawa kwa kuanzisaha thread hii. Nasi tuliopita pale early 2000's tunakumbuka namna maisha ya pale yalivyokuwa complex. Nakumbuka wazee wa Lumumba west waliokuwa wanajiita "wazee wa pamba" lakini kwa usafi wa mazingira ya bweni kila wiki wanashika nafasi ya mwisho. Sisi tuliokuwa na mzee Mbao na Tende, sijui wapo wapi wazee hawa!
 
Kweli tumetoka mbali........

nimelazimika kusoma kila reply,maana nimejiona km niko shabani west...zile cubes sasa ni vyumba..ushirikiano waliuharibu..maana enzi hizo tunapiga story kwa kushirikiana cubes zote huku tumekaa kwenye double deka..

asante mkwawa
 
1996 to 1998 mmojawapo the casino the complex Mkwawa High School wahooooouuuuuuuu
 
1996 to 1998 mmojawapo the casino the complex Mkwawa High School wahooooouuuuuuuu

Kumbe wana mkwawa tupo wemgi sana humu ndani ya JF... Wengine hata hatukuchua vyeti vyetu, na sasa hivi ni college sijui tukivihitaji tutavipata vipi!
 
There I met one of the leaders I admired....Mr. Mgohamwende. Yupo wapi huyu mzee aliyekuwa hajui kuongea ongea ili afurahishe watu, ila mtu aliyajari nidhamu hodari wa kutimiza anayoyataka
i salute this man, i never saw a serius Headmaster than he was.....a real father...anaweza kukuona katika kundi la watu 10 nje ya shule akakutambua na kukutafuta shule...mabinti walikuwa wanamuogopa kama jini akisimama parade tu anaanza kuchambua mmoja mmoja aliowakuta mjini...yuko wapi kwa sasa?
 
Kumbe wana mkwawa tupo wemgi sana humu ndani ya JF... Wengine hata hatukuchua vyeti vyetu, na sasa hivi ni college sijui tukivihitaji tutavipata vipi!
Tupo wengi mkuu, si unaelewa ile shule ilikuwa inakusanya kutoka kila kona ya Tanzania? Kuhusu vyeti vinapatikana Ifunda sekondari kama hawajavihamisha, mimi nilichukua changu mwezi Disemba mwaka jana.
 
Alipotoka Mkwawa alihamia Mazengo, sasa Mazengo imekuwa college sijui atakuwa amehamia wapi?
 
Tupo wengi mkuu, si unaelewa ile shule ilikuwa inakusanya kutoka kila kona ya Tanzania? Kuhusu vyeti vinapatikana Ifunda sekondari kama hawajavihamisha, mimi nilichukua changu mwezi Disemba mwaka jana.

Shukurani sana for the Info. Ndio maana ilikuwa inaitwa complex, kulikuwa kuna kila aina ya mtu pale.
 
i salute this man, i never saw a serius Headmaster than he was.....a real father...anaweza kukuona katika kundi la watu 10 nje ya shule akakutambua na kukutafuta shule...mabinti walikuwa wanamuogopa kama jini akisimama parade tu anaanza kuchambua mmoja mmoja aliowakuta mjini...yuko wapi kwa sasa?

Mgohamwende the Great Headmaster without a smile he Was transfered to Mazengo High school in Dodoma! I don't know by now where he is!!!
 
Kumbe wana mkwawa tupo wemgi sana humu ndani ya JF... Wengine hata hatukuchua vyeti vyetu, na sasa hivi ni college sijui tukivihitaji tutavipata vipi!

Mimi pia sijachukua cha kwangu. Niliulizia nikaambiwa kuwa vimepelekwa Ifunda Sekondari.
 
wewe rufiji ulikuwa lumumba east kule nyuma sikumbuki vyumba vile viliitwaje ila kulikuwa kwa majina ya vyumba katika mabweni ni boiler,upper wing,lower wing,leeward,then kuna ka chumba kalikuwa kanaitwa trench town alikuwa anakaa mnoko mmoja anaitwa kyande
nasikia yuko uk for masters,joel ulomi yuko usa pamoja na koya yawe sasa ni minister wa dini,brigedia nasikia yuko australia from geita,dk jre alikuwa namibia sina hakika,sucker prince sijui ila mshikaji wake (charles)yuko zain dsm kama eng,lwitiko sina hakika nasikia lushoto judiciary,john mchina yuko mtwara nasikia,amana namtafuta sana sijui yu wapi nisaidieni
 
Back
Top Bottom