duh naaam nakumbuka kifutboli mkwawa ilitisha mimi ni 1996/98, sasa kuna suard ya kina cletus magoda, mwakabuku ezekiel, titus mhina duh acha kabisa, nimeipenda format ya 5+n. safi sana
Wapo wa Mkwawa High 1974-75?
Mzee wanzagi naye alikuwepo, ilomo naye alikuwepo
duh naaam nakumbuka kifutboli mkwawa ilitisha mimi ni 1996/98, sasa kuna suard ya kina cletus magoda, mwakabuku ezekiel, titus mhina duh acha kabisa, nimeipenda format ya 5+n. safi sana
.Nauliza kama hapa JF wapo waliopitia Mkwawa High School miaka ya 1974-75?
Wewe tulikuwa wote, mimi nilikuwa SHABAN WEST kwa mzee Mwangoka!
Heri yako wewe umemsahihisha yule aliyesema pale makanyagio alikuwepo mtu anaitwa Nelson, mi nakumbuka mtu aliyekuwepo pale alikuwa anaitwa Nelkon(japo) si jina lake halisi. Ila mimi nilikuwa Mkwawa 96-98 na enzi za Mgohamwende, sijui yuko wapi saa hizi huyo SERIOUS GUY!
Vipi wale jamaa zangu watumiaji wa ulanzi kule Mkimbizi mnapakumbuka?
Nasikia Mwangoka alipata shule nyingine? Wadau mna data ni ipi na wapi?
ngui nasikia alifariki ajalini songea, mwenye uhakika atoe basi ticha wetu, yaah!
alishafariki? mwenye data kamili atupatie basi,nakumbuka ilipokuwa zamu yake asubuhi alipokuwa anakuja kule mabwenini kwetu magembe na kuanza kutufukuza twende madarasani,kama amekufa apumzike kwa amani.
mzee kama tumepiga wote MKWAWA COMPLEX & CASSINO...aka..SOBIBO CAMP...maana cletus magoda alikuwa bweni mate wangu MAK-EAST..aka..EASTSIDERZ....pale wakulu tulikula shangwe...unakumbuka vyoo vyetu vya shimo kuingia mpaka ufue shati???