Mkwawa High School mpo? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mkwawa High School mpo?

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Kitia, Jan 21, 2008.

 1. Kitia

  Kitia JF-Expert Member

  #1
  Jan 21, 2008
  Joined: Dec 2, 2006
  Messages: 410
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Nauliza kama hapa JF wapo waliopitia Mkwawa High School miaka ya 1974-75?
   
 2. K

  Kasana JF-Expert Member

  #2
  Jan 22, 2008
  Joined: Apr 3, 2007
  Messages: 413
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Mkuu kwa hesabu za haraka haraka, 'wengi humu' kipindi hicho walikuwa wanacheza kombolela!
   
 3. mtuwawatu

  mtuwawatu Senior Member

  #3
  Jan 22, 2008
  Joined: Oct 30, 2007
  Messages: 106
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
 4. YournameisMINE

  YournameisMINE JF-Expert Member

  #4
  Jan 22, 2008
  Joined: Aug 29, 2007
  Messages: 2,451
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 145
  achilia mbali kuwa walikuwa wameshazaliwa....... unaongelea miaka 33-34!!!.
   
 5. The Farmer

  The Farmer JF-Expert Member

  #5
  Mar 29, 2009
  Joined: Jan 7, 2009
  Messages: 1,581
  Likes Received: 433
  Trophy Points: 180
  Wadau wa JF waliopita Mkwawa high school nawapa hi.
   
 6. Lusajo

  Lusajo JF-Expert Member

  #6
  Mar 29, 2009
  Joined: Feb 25, 2008
  Messages: 451
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Mbona unakusahau Makanyagio? Au wewe ulikuwa unapapenda sana Gangilonga? Maana taa za pale zilikuwa hazichukui siku zinapasuliwa.!! Hahahaha! (kama zile kuta za Gangilonga zingekuwa zinaongea? Mhmmm!!) lakini ni Bonge ya shule.
   
 7. The Farmer

  The Farmer JF-Expert Member

  #7
  Mar 29, 2009
  Joined: Jan 7, 2009
  Messages: 1,581
  Likes Received: 433
  Trophy Points: 180
  Makanyagio si ndio tulikuwa tunapata wali na maharage, tulikuwa kila siku tunakimbizana na NGUI.
   
 8. B

  Bibi Kizee JF-Expert Member

  #8
  Mar 29, 2009
  Joined: Feb 18, 2008
  Messages: 213
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  hahahahaaaaa Makongoro's na bonge ya maandazi ya makanyagio aise umenikumbusha mbaali na mbio za MKUU NGUI,

  bila kumsahau mzee Mwangoka!!!

  wapi palee kibanda simama ambapo gembe's and kongoro's meet,

  sijui sasa pamekuwaje na status yake mpya!!!!
   
 9. C. Misonge

  C. Misonge JF Gold Member

  #9
  Mar 29, 2009
  Joined: Oct 3, 2007
  Messages: 61
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 15
  tehe tehe, bila kumsahau mtu mfupi mgimwa, kwa makanyagio mzee chuwa na nelson,kaazi kweli kweli, na yule mama wa aggrey alikuwa mnoko akachezea kipondo mama massawe, aliacha kabisa kwenda mjini kwa miguuu. Na mwalimu masebo wa lumumba west
   
 10. Kitia

  Kitia JF-Expert Member

  #10
  Mar 29, 2009
  Joined: Dec 2, 2006
  Messages: 410
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Wapo wa Mkwawa High 1974-75?
   
 11. The Farmer

  The Farmer JF-Expert Member

  #11
  Mar 29, 2009
  Joined: Jan 7, 2009
  Messages: 1,581
  Likes Received: 433
  Trophy Points: 180
  Unakumbuka kulikuwa na staili ya Form 5 kuchukua mademu wa Form 6 (walikuwa wanaitwa wajane enzi hizo)
   
 12. The Farmer

  The Farmer JF-Expert Member

  #12
  Mar 29, 2009
  Joined: Jan 7, 2009
  Messages: 1,581
  Likes Received: 433
  Trophy Points: 180
  Mhh umekula chumvi, 1974-75 ndio ulikuwa High School, hongera!!
   
 13. Kaduguda

  Kaduguda JF-Expert Member

  #13
  Mar 29, 2009
  Joined: Aug 1, 2008
  Messages: 667
  Likes Received: 278
  Trophy Points: 80
  mmemsahu mama mpogole,ukiumwa mpaka aje kukuangalia karne imepita hahaha! bongo bwana
   
 14. Ndahani

  Ndahani JF-Expert Member

  #14
  Mar 29, 2009
  Joined: Jun 3, 2008
  Messages: 14,314
  Likes Received: 1,784
  Trophy Points: 280
  There I met one of the leaders I admired....Mr. Mgohamwende. Yupo wapi huyu mzee aliyekuwa hajui kuongea ongea ili afurahishe watu, ila mtu aliyajari nidhamu hodari wa kutimiza anayoyataka
   
 15. Kitia

  Kitia JF-Expert Member

  #15
  Mar 30, 2009
  Joined: Dec 2, 2006
  Messages: 410
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Asante sana. Hii pia inaonyesha kuwa JF ina watu wa kila rika, kila fani na kutoka sehemu mbalimbali za dunia. Jambo hili ni mojawapo ya mambo yanaifanya forum ya JF kuwa na nguvu sana. Tutumie chombo hiki ipasavyo.
   
 16. Who Cares?

  Who Cares? JF-Expert Member

  #16
  Mar 30, 2009
  Joined: Jul 11, 2008
  Messages: 3,465
  Likes Received: 1,950
  Trophy Points: 280
  ahahahaha...wadau kweli tunakumbushana mbali sanaaa...i wish sikumoja naenda pale maana pana-kijihistoria cha maisha yetu...MKWAWA COMPLEX AND CASSINO....Mgohamwende nakumbuka ile tunaanza form v watoto flani wakaleta utozi na usista duu,,....acha awatimue school fasta...anapiga bit la kufa m2...THIS IS A SOBIBO CAMP....Mdau nguwi acha anikimbize mitaa ya makanyagio mpaka akanikamata..kesho yake si ndio msala huu assembly...hapa mgohamwende hapa ngoka kushoto nguwi mwenyewe...si nikacheze sana bakora za ukubwani na ni za mwisho kutandikwa...may be uzeeni nikiukwaa uwaziri then niwe fisadi kisha nihukumiwe na pilato bakora ita unaingia segerea na sita ukiwa unatoka ukamwonyeshe mkeo na wajukuu..ahahaahah..VERY FUN mkwawaaaa
   
 17. Who Cares?

  Who Cares? JF-Expert Member

  #17
  Mar 30, 2009
  Joined: Jul 11, 2008
  Messages: 3,465
  Likes Received: 1,950
  Trophy Points: 280
  nasikia pia Nguwi kesha tangulia mbele za haki...Mwangoka ni headmaster wa shule flani huko nyanda za juu...mwaipaja ni mwalimu kitu kama SUA au MZUMBE, Mgohamwende alipelekwa mitaa ya Mazengo...ila sijui yupo wapi tena maana na mazengo nayo ndo hiyo inakuwa university....
   
 18. D

  Dyelu Kalufya New Member

  #18
  Mar 30, 2009
  Joined: Mar 30, 2009
  Messages: 1
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Du ze mkwawa ilikua poa makanyagio wali unakula kidogo tumbo linajaa ma hamira ya mzee chuwa ila palikua panatutoa sana tuliokua hatuwezi enda canteen.

  Nakumbuka siku ya concert watu walikua wanajiandaa kama una demu lazima ulipe siti mbili mkae karibu.

  Wahuni tulikua tunaenda lamba viloba kwanza kutoa nishai kabla concert halijaanza.
   
 19. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #19
  Mar 30, 2009
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  Kwa kweli mmenikumbusha mbali sana >maandazi ya makanyagio plus mbio za ngui na mwangika kukanyaga maandazi

  hahaaa
   
 20. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #20
  Mar 30, 2009
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  jamani Ngui hajafa yupo kapewa u headmaster sumbawanga huko
   
Loading...