Bunyu acha kujisifu na hicho chenu cha kata.
kinachopelekea MUCE kuwa chuo cha kata ni nini? me sifahamu ati! kwani wewe upo/umesoma chuo gani ambacho ni cha kitaifa?
Ni kweli mkwawa ni chuo cha kata..
hapa kila kitu cha kugombea.lecture rooms tunabanana sana,hostel ni zile room tangu advance,na hazitoshi watu wanapanga mbali.madem pia wachache sana japo cio lazma.
mbona hata udsm lecture twagombania? Hostel shida?
Mtu ametoa mapendekezo yake kuhusu mazingira ya chuo cha mkwawa mnaanza kumshambulia..ni ukweli usiopingika kwamba mazingira ni kimojawapo kinachochangia ufaulu mzuri...huwezi kuniambia mtu akienda lecture agombanie kama tuition mchikichini bana..hostel pia muhimu ila mademu achana nao..
Sent from my BlackBerry 9380 using JamiiForums