Some time unaingia hapa JF unasome post za watu unashindwa kuelewa wakati mwingine mtu anamchukia mtu na anashindwa kufikiri.
Katika umeme ni jinsi gani tunaweza kujua huu tunaotumia unatokana na vyanzo vya maji au Richmond au IPTL? Wote hawa wanasupply kwa TANESCO naye ndo anatusambazia sisi. Sasa tuambie ni jinsi gani tunaweza kuu-isolate mojawapo kati ya hiyo. Unapoamua kugomea kitu, lazima pia uangalie alternative sasa wewe ukitaka tuache kutumia umeme unashauri tutumie nini?Koroboi au mishumaa? Vodacom kuna choice nyingine.
Kapinga ungalikuwa very wise kama ungalitoa haya uliyo yatoa na ukaweka sawa ukweli .Ndiyo maana tuko hapa .Nawe ukisema na kuondoka na unalilo lijua nadhani utakuwa hujafanya lolote .Concrete threads alete nani ? Una wajibu wa kuleta if you feel like .
Kenya unabisha bure na watu tumeona wenyewe .Wakati wa Mgogoro it was very spread kwamba watu wanagomea bidhaa katika supermarkets kwa kuwa Wakikuyu wana ties na Kibaki , na hata Kibaki he went public na kulaani kwamba Uchimi utakufa .Kama hukuwa unajua uliza .We are not talking about Safaricom.Unaongea kama vile umeguswa pabaya mkuu.Sema unalo jua usaidie watu kuelewa vinginevyo tupishe tuendelee na kampeni .
Tuemdelee kupinga na huku watu wanafanya mambo kama ya Ivuna Metiorite .Sijui ni nini hatuwezi kuona jinsi tunavyo changangana .Unasema pato al serikali linamsaidiaje mtu wa kijijini kwenu ? Hebu acha kuwapa wazee wako pesa ya kula uone kama utasikia serikali inagawa pato la Taifa kwa manufaa .Matokeo yake wanajilimbikizia na kuweka ukuta waendelee kufa sie twafa .Sijaona hoja yako kapinga .Mugisha kesha sema hapo juu naona unakuja na hadithi badala uweke data .Si unazo ? Ziweke kupinga bandiko langu ndiyo maana tuko hapa .Kusema unaanza ku loose touch ni poa tu .Tuko hapa kabla yako na tutaendelea kuwepo sisi wengine .
Naomba jamani tuendelee na harakati hizi za kuonyesha nia na kufanya kweli kulinusuri Taifa .Tuanze na huyu kwa vyovyote vile iwavyo .
Ukimya wa watanzania usichukuliwe kuwa umbumbumbu, umma wa watanzania upo makini sana na ni suala la kujitambua tu ndo tutaweza kususia hizi huduma za mafisadi.
wakati naitupa sim ya voda ilikuwa ni kwa sababu ya 'wizi' gharama zilikuwa kubwa ajabu na nimejiunga na mtandao mwingine kabisa. Laiti wapiga filimbi wangeamua kuuelimisha umma basi hali ingekuwa tofauti.
Tususie bidhaa za mafisadi
Sijaweza kusoma thread nzima. Lakini mkuu Lunyungu, if you wanna make a point, create an email, foward it around. The ball will roll. People will decide whether you are right or wrong (I am not sure if you are right or wrong), and they will push the message. Sio kila mtu anakuja JF, trust me!!
Kama kuna mtu kashashauri hivyo poa.
Nzo hii ya ku create email haina haja ya kumsubiri Lunyungu afanye. If your serious wewe ingia vitani moja kwa moja kwa kutengeneza email na kuanza kuisambaza. Mimi hata bila kuuliza consent ya Lunyungu nimeshaanza kutuma emails kwa watu ninaowafahamu nearly 100. Hivyo tengeneza mwenyewe. Unaweza kupata points nzuri tu za kuanzia kutoka katika Thread hii hii
Watanzania tushinikize Rostam akamatwe na Vodacom itaifishwe.
Asante.
funny!!
Anyway,
Salam kwa wote.
Nadhani wote sio simple minds discussing ppl,
we wanna discuss issues.
Like grand corruption.
RA is among the top players.
Tafadhali kwa heshima (japo siko VODA), ili niweze kutathmini, RA ana share ngapi Caspian?
Je Caspian inamilikiwa na mafisadi wengine?
Je makampuni gani mengine yanamilikiwa na Caspian?
Je yana umuhimu kwake kuliko Voda?
Tusipoteze nguvu kuua tembo kwa ubua.
You have gone emotional here .Umeandika hujaenda in details .Unataka ushahidi ama kitu gani .Umesona vyema michango na nondo kibao za wananchi huko juu kabla ya kuandika ?
sijasoma zoote, ila ukinipa links zenye majibu yangu nitashukuru sana, tunataka tummalize kabisa, manake kila nikiingia nakuta watu wanaunga mkono au wanapinga tu bila kunijibu swali langu, na nimeshauliza hili swali mara kibao.
Unataka ushahidi wa aina gani ? Umesoma hata mtu katoa hapa jedwali kuonyesha Rostam ana share ngapi kule Vodacom ? Ina maana ni kwlei hujui kwamba RA ana share vodacom ?
RA ana share ngapi Caspian?
Voda bado ni mtandao wenye nguvu licha ya kuwa una mkono wa RA, hata hivyo kamanda Lunyungu umeshindwa kunishawishi kuondoka hapo Voda. Hadi sasa nina imani kuwa Voda inatoa mchango mkubwa katika sekta mbalimbali za kijamii katika TZ, hivyo naona kususia huduma zao ni sawa na kuzorotesha huduma wanazochangia ikizingatiwa mimi sina sehemu yoyote ninayolipa kodi katika Tz zaidi ya VAT wakati wa kununua mahitajio yangu.
Haika RA=Caspian 19%
Ina maana Caspian ambayo ina 19%shares voda, inamilikiwa na RA 19% pia?
Kwa mtazamo huo ina maana Ra ana 19% ya 19% kwenye mtandao wa Voda?
Kama sijakupata vizuri naomba nieleweshe.
Lakini bado hujajibu maswali yangu, makubwa
celtel/tigo/zantel/hits zinamilikiwa na kina nani? tuweze kufanya chaguo jema, au tukutegemee wewe kutuambia tuhamie unakopenda wewe?
nimesoma michango yote sasa na maswali yangu hayajajibiwa popote zaidi ya mmoja alisema kuwa tigo inamilikiwa na ultimate, na huyo si anajulikana, hagusiki, anachotaka lazima apate?
Au humjui?
binafsi sina ubaya wa kususia bidhaa yoyote (hata kama haipatikani kwingine) ila nachoomba tu ni facts. BASI.
PIE CHART MOJA HAIWEZI KUTUPELEKA WOTE KAMA UPEPO,
Lyungu nakujua kwa mada zako za kizalendo, lakini jaribu kwa hii kuchimba kidogo, ndo uakilishe.
Kwa sasa naona kama unajishusha, kama vile una hasira na Voda na sio RA, namake hata hutaki kusema RA ana kampuni gani zingine.