Kazi ipi mkuu.Mtawahadaa watz hadi lini?Piga kazi kaka ili muwe mfano kwa vijana wakipewa nafasi wanaweza
Anapita na wapiga picha?Nadhani kuna taarifa humu ikieleza kuwa mh Gondwe alikuwa akipita ndipo akatoa msaada tu wa kumtwisha huyo mama na kwangu sidhani kama hilo ni jambo baya. Ukiwa na wadhifa bado unabaki kuwa mwanajamii hivo vitu kama hivyo ni vya kawaida. Ila itakuwa ishu kama anatoka ofisini kwenda kufanya shughuli hiyo.
usiombe ukapangiwa huko kazi,,,sijui why wajerman hawakuweka japo hali ya hewa tamuuuuKunaonekana kuna shida ya maji sana
hakuna haja akatowe maji pangani yakifika akawaone wanayachotajeKimantiki inaokena kabisa hiyo ni sehemu ambayo wananchi wanakwenda kuchota maji kwa ajili ya matumizi ya kila siku.
Sio vibaya mkuu wa Wilaya akitembelea sehemu kama hiyo kuzungumza na wananchi wake mawili matatu ili kukabiliana na matatizo kama hayo na kuona jinc gani anaweza kuwasaidia kuwasogezea huduma hiyo muhimu karibu.
Gondwe ni mtu smart sana na vile vile kama ni umaarufu keshaupitia tayari, hawez kuwa na mizuka kama wanayofanya baadhi ya wateuliwa wengine..