Mkuu wa Wilaya ya Handeni kazi imeanza

kaseva

JF-Expert Member
Mar 19, 2016
473
301
7a096bea4cf1968646475b807c5c286e.jpg
b18a64e630dcfdbbc0a55f470a26887c.jpg
 
Nadhani kuna taarifa humu ikieleza kuwa mh Gondwe alikuwa akipita ndipo akatoa msaada tu wa kumtwisha huyo mama na kwangu sidhani kama hilo ni jambo baya. Ukiwa na wadhifa bado unabaki kuwa mwanajamii hivo vitu kama hivyo ni vya kawaida. Ila itakuwa ishu kama anatoka ofisini kwenda kufanya shughuli hiyo.
 
Anapita na wapiga picha?
 
Kimantiki inaokena kabisa hiyo ni sehemu ambayo wananchi wanakwenda kuchota maji kwa ajili ya matumizi ya kila siku.

Sio vibaya mkuu wa Wilaya akitembelea sehemu kama hiyo kuzungumza na wananchi wake mawili matatu ili kukabiliana na matatizo kama hayo na kuona jinc gani anaweza kuwasaidia kuwasogezea huduma hiyo muhimu karibu.

Gondwe ni mtu smart sana na vile vile kama ni umaarufu keshaupitia tayari, hawez kuwa na mizuka kama wanayofanya baadhi ya wateuliwa wengine..
 
hakuna haja akatowe maji pangani yakifika akawaone wanayachotaje
 
Back
Top Bottom