Mkuu wa Wilaya ya Handeni kazi imeanza

7a096bea4cf1968646475b807c5c286e.jpg
b18a64e630dcfdbbc0a55f470a26887c.jpg



Sijui watanzania tumekosea wapi....yaani bado tu tunachota maji kwenye mito na visima wakati yangeweza kuvutwa na kuweka bomba?? Yaani hata Dar es salaam watu wanachota maji visimani...Ukienda mkoa wa Pwani ndiyo usiseme...Yaani bomba kubwa la maji kutoka Ruvu linaleta maji Dar es salaam na linapita maeneo au vijiji vingi tu Misugusugu, mwendapole, kongowe, Miembe saba, kwa mfipa, picha ya ndege, kimara, kibamba, mbezi na sijui wapi lakini katika maeneo yote haya wako watu kwa maelfu hawana maji wanachota visimani na kwenye madimbwi...yaani hata ile akili ya kuweka mabomba ya umma yapatayo matano ili watu wawe wanachota na kutozwa sh. 50 tu kwa ndoo au sh. 100 hakuna akili hiyo....Hivi magonjwa ya kichocho, matumbo na kadhalika yatakwisha kweli kwa tabia hii??????????????????
 
Back
Top Bottom