ubora wa maisha
Member
- Dec 4, 2016
- 33
- 14
Nataka niulize swali tu hivi kama sina hiyo pesa na mgambo wakaja kunibambua wanipeleke polisi wakati inasemekana elimu ni bure na mi naamini kodi tunazolipa ndio kazi yake.
Inakuaje magari ya matangazo yanapita mtaani tu na kauli za ubabe na vitisho kila leo, mara mkuu wa wilaya kasema hiki mara anataka kile, kwanini hataki watu tuishi kwa amani kwani kama ni michango hamna namna mzuri ya kushirikisha wananchi ipatikane.
Watu tumekaa tunawaza pesa hakuna halafu mtu anakuja lazima utoe mchango wa shule na usipotoa unachukuliwa hatua kama za muhalifu ...its not fair at all.
Kazi ya kujenga shule sio ya wananchi ni ya serikali wananchi tunatakiwa tusaidie tu kwa moyo but huu ni ubabe.