Mkuu wa wilaya ya Hai anatulazimisha kuchangia michango ya kujenga shule la sivyo tutabambuliwa

Dec 4, 2016
33
14
Nataka niulize swali tu hivi kama sina hiyo pesa na mgambo wakaja kunibambua wanipeleke polisi wakati inasemekana elimu ni bure na mi naamini kodi tunazolipa ndio kazi yake.

Inakuaje magari ya matangazo yanapita mtaani tu na kauli za ubabe na vitisho kila leo, mara mkuu wa wilaya kasema hiki mara anataka kile, kwanini hataki watu tuishi kwa amani kwani kama ni michango hamna namna mzuri ya kushirikisha wananchi ipatikane.

Watu tumekaa tunawaza pesa hakuna halafu mtu anakuja lazima utoe mchango wa shule na usipotoa unachukuliwa hatua kama za muhalifu ...its not fair at all.

Kazi ya kujenga shule sio ya wananchi ni ya serikali wananchi tunatakiwa tusaidie tu kwa moyo but huu ni ubabe.
 
Nampongeza mkuu wa wilaya kwa hatua hiyo nzuri kuhakikisha watoto wetu wanapata elimu. Kikubwa na cha muhimu ni kuonyesha uwajibikaji (accountability) Kuhakikisha hela zinazokusanywa zinatumika kwa malengo yaliyokusudiwa. Wana Kilimanjaro hatuna tabia ya kulalamika hasa kwa masuala ya msingi na kimaendeleo kama anavyofanya mkuu wa Wilaya.
 
Nataka niulize swali tu hivi kama sina hiyo pesa na mgambo wakaja kunibambua wanipeleke polisi wakati inasemekana elimu ni bure na mi naamini kodi tunazolipa ndio kazi yake.

Inakuaje magari ya matangazo yanapita mtaani tu na kauli za ubabe na vitisho kila leo, mara mkuu wa wilaya kasema hiki mara anataka kile, kwanini hataki watu tuishi kwa amani kwani kama ni michango hamna namna mzuri ya kushirikisha wananchi ipatikane.

Watu tumekaa tunawaza pesa hakuna halafu mtu anakuja lazima utoe mchango wa shule na usipotoa unachukuliwa hatua kama za muhalifu ...its not fair at all.

Kazi ya kujenga shule sio ya wananchi ni ya serikali wananchi tunatakiwa tusaidie tu kwa moyo but huu ni ubabe.
Mimi nilishakataa kutoa kodi ya kichwa ya aina hio iliyopachikwa jina la mchango, na naapa sitatoa kamwe! Hawana uwezo wa kukufanya chochote zaidi ya kukusingizia uchochezi ama uzururaji ama kumtukana huyo DC.
 
Sio hatua nzuri kodi zetu zinapaswa kutumika katika maswala ya msingi kama haya, ndio maana tunalipa kodi swala la michango kila kukicha ni tabia mbaya sana ya kiafrika .. bajeti kila mtu ana bajeti ya fedha anayopata so sio kwasababu mtu ameamka huko nyumbani kwake anataka tu kwasababu ana cheo flani ndio achangishe michango sio sawa ,,kazi primary ya serikali ni kukusanya kodi na kutupa huduma ambazo tunazipata sababu tumechagua kuwa na serikali sasa inaposhindwa na kuja kuomba tena tuisaidie kazi yake sidhani kama ni kitu cha kupongeza
 
kazi yangu ni kulipa kodi na kuhakikisha kodi yangu inatumika kuniletea maendeleo ,na ndicho ninachokifanya hapa
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom