Mkuu wa wilaya Ruvuma afumaniwa akimega

Fanya jambo sahihi,kwa wakati sahihi,mahali sahihi na kwa watu sahihi.Mambo mengine unaaibika kwa bahati mbaya,lakini hili ni la kujitakia.Kama ni ukweli Mungu amsamehe.
 
ila hayo mambo binafsi sana na sio hata ya kukuumiza kichwa, kama kumega kila mtu anamega so sioni ajabu katika hilo
 
tufafanulie mkuu au amebaka, ila kama walikubaliana hapo hakuna shida hata JK hawezi kumchukulia hatua yoyote ya kinidhamu
 
Katika hali isiyo ya kawaida mkuu wa wilaya moja mkoani Ruvuma amefumaniwa akimmega {akivunja amri ya 6 na} paparazi jina la mkuu wa wilaya ni Juma Madaha mkuu wa wilaya ya Tunduru. Hii imetokea jana mchana kweupee wananchi wanao kemea tabia mbaya kama hizi. Kwa mtu anae taka more dataz piga cmu kwa viongozi wa serikali mkoa wa Ruvuma watakuthibitishia.

NB; Huyu mkuu wa wilaya anapingana na zoezi la mwajiri wake rais JK kwa kuto piga vita gonjwa hatari la ukimwi hili. Tunashauri rais amsimamishe kazi mara moja na hatua za kinidhamu zichukuliwe.
Na mwezi mtukufu huu jamaa anatenda dhambi kweupe kaacha ofisi anaenda kumega.

homeboy vip?
Uko tunduru nin?manake kwenye line yako sikupati
 
YES ingekuwa jambo la busara kwa President kuweka hadharani ni vigezo gani hawa watu huchaguliwa?au ukishakuwa mpiga domo CCM basi unazawadiwa ukuu wa wilaya?pia aweke bayana wajibu wao wa kila siku! Baya zaidi watendaji wa serikalini almost 80% ni wa tabia za namna hiyo,si lazima ufuska bali ni kuwa nje ya ofice/kazi mda wa kufanya kazi,kwa mtindo huu tutafika?wachache sana wanachangia pato la nchi hii then wengi ndo walaji.
 
ila hayo mambo binafsi sana na sio hata ya kukuumiza kichwa, kama kumega kila mtu anamega so sioni ajabu katika hilo

wajina bana!,
hatukatai kwamba ni ishu binafsi, sawa. lakini ilikua mchana tena siku na muda wa kazi.
mbaya zaidi huwezi jua huko mikoani kila kitu ndo kwa mkuu wa wilaya, je unafahamu ni watu wangapi waliokua wamepanga foleni ofisini kwake wakimsubiri awape huduma??. ni mafaili mangapi kwa muda huo aliokua anabanjuka angekua anayapitia??
je mbaya zaidi mwezi huu ndo wa toba, yeye anabanjuka tu akirudi home familia wanajua jamaa ka-'close' kumbe kobe!!,
tunachomlaumu huyu mkuu ni kwamba atabanjukaje wakati wa kazi??, awajibishwe ili iwe funzo kwa wengine.
 
tunachomlaumu huyu mkuu ni kwamba atabanjukaje wakati wa kazi??, awajibishwe ili iwe funzo kwa wengine.

Alafu JK asipo mwajibisha kwa kumstaafisha kwa manufaa ya umma tutakuwa hatumwelewi huu utawala bora anao hubiri ana hubili kwa watumishi wake au kutufariji ss mtasikia tu kahamishwa wilaya nchii hii imeoza kweli nilisikia jamaa aliniambia JK anapochagua wakuu wa wilaya anaangalia alphabet anagonga paaaa mara mpwa unakula shavu George Porjie mkuu wa wilaya ya Tegeta hahahaha.
 
Huyu mbona jina lake kama ni ustaadhi,yeye hafungi kwenye mwezi huu mtukufu na anamega nje ya ndoa yake tena hata muda wa kufuturu bado?Tabia hii haimpendezi Mungu na maadili ya uongozi wa taifa pia.Viongozi wanapaswa kuwa mfano wa kuigwa katika jamii,sasa kama wanamegana tena mchana kweupee inakuwaje hii.JK amtupie macho.

Mashuke

Maustaadhi wengi ndivyo walivyo!
 
Alafu JK asipo mwajibisha kwa kumstaafisha kwa manufaa ya umma tutakuwa hatumwelewi huu utawala bora anao hubiri ana hubili kwa watumishi wake au kutufariji ss mtasikia tu kahamishwa wilaya nchii hii imeoza kweli nilisikia jamaa aliniambia JK anapochagua wakuu wa wilaya anaangalia alphabet anagonga paaaa mara mpwa unakula shavu George Porjie mkuu wa wilaya ya Tegeta hahahaha.

hahahaaaaaa, duh itakua noma!.
nikipewa rungu sicheki na mtu, kazi kwa kwenda mbele, mi mwenyewe nikikukuta unakunywa KONYAGI time ya kazi no diskasheni, nakuwajibisha tu!.
 
Tukihoji JK anatumia vigezo gani kuchagua wakuu wa wilaya mnasema ooh Fidel, Yo Yo, Nyani Ngabu, Masanilo wasengenyaji haya sasa huyu kafumwa mchana kweupeeeeee kaacha ofisi anaburudika na kiburudisho.
w eee fidel nawe acha kukuza mambo sasa hapo JK anahusika vipi? kwani unamchagua kiongozi unacmhunguza kama mzinzi au lah? tumeona nchi ngapi viongozi wanavunja maadili moja wapo Uk , sasa utamlaumu aliyemchagua au waliomhcagua au wa kulaumiwa ni yeye kiongozi mwenyewe anayevunja ethics za uongozi? everyone is responsible for his own action. tumsemeni JK panapostahili sio kila kitu hata upuuzi wa watu wengine tumlaumu yeye tu mwe!
 
Unaonaje ukinitafutia jina la aliyemegwa,unaweza kukuta ni shemeji yenu.Yaani jamaa hata hakuogopa mwezi wa toba achilia mbali kutokufunga.Halafu kiongozi kama huyu mtegee atakuwa muadilifu.Mnaopiga vita ufisadi jueni kazi mnayo.

Hapa yawezekana,mmegwaji aliogopa mwezi wa toba ndo maana hakuwa mnyimi.si unajua mwezi huu hutakiwi kuwa mchoyo na mnyimi................hahahaha..
 
wajina bana!,
hatukatai kwamba ni ishu binafsi, sawa. lakini ilikua mchana tena siku na muda wa kazi.
mbaya zaidi huwezi jua huko mikoani kila kitu ndo kwa mkuu wa wilaya, je unafahamu ni watu wangapi waliokua wamepanga foleni ofisini kwake wakimsubiri awape huduma??. ni mafaili mangapi kwa muda huo aliokua anabanjuka angekua anayapitia??
je mbaya zaidi mwezi huu ndo wa toba, yeye anabanjuka tu akirudi home familia wanajua jamaa ka-'close' kumbe kobe!!,
tunachomlaumu huyu mkuu ni kwamba atabanjukaje wakati wa kazi??, awajibishwe ili iwe funzo kwa wengine.

Kwa maana hii awajibishwe kwa kutoroka kazini,na si kumega cha mtu,au kumega mchana.?
 
miezi yote inatakiwa kuwa yatoba...hakuna mungu wa mwezi wa ramadhan tu..mungu anatakiwa kuheshimiwa miezi yote mi 3..huu unafki wa kuogopa dhambi mwezi m1 tu ktk mwaka hatutaki..mkuu wa wilaya atakuwa amefwaudu lkn..teh teh
 
w eee fidel nawe acha kukuza mambo sasa hapo JK anahusika vipi?!

Tatizo la JK akiambiwa mbishi hachukui hatua za haraka angalia kama huyu utashangaa bado anaendelea kupeta hivi unajua alikuwa anajiexpress muda wa kazi mchana kweupee sasa kwa nn asimwajibishe bana watu tunalipa kodi kwa ajili yao alafu kazi wanafanya kwa kujivuta vuta.
 
Mambo ya tiGo mazee?
 
Hapo nilipowekea rangi nyekundu. Nimesikia sana watu wanasema tunalipa kodi weee, wakati watu wanabeba boksi wengine wanafanya kazi na kulipa hiyo kodi ughaibuni hawajawahi kukatwa hata sh hapa nyumbani hiyo kodi anafaidi Gordon Brown na Malkia acheni unafiki.
 
Back
Top Bottom