Angekuwa mrembo wa kimarekani ningeamini kwamba ni propaganda za kumshika koti asiendelee na kazi ya kugombea urais, lakini yule mama wa kiafrika inaingia akilini mwangu alifanya kitu hicho, kwani kwa wafaransa ni jadi yao. Wengi huenda huwafanyia hivyo lakini wakilalamika humalizana kwa kumegewa mapesa kidogo, lakini huyu mweuzi alimdharau mradi kamaliza kiu yake.