Mkuu wa nchi ndani ya Irish Pub

Ndallo

JF-Expert Member
Oct 1, 2010
7,619
4,292
images
capt.55537d0bae974a4ca976cb18a2cab67b-55537d0bae974a4ca976cb18a2cab67b-0.jpg

Cheers!
 
Huyo anajiburudisha baada ya kuonekana kwa kuanza kunyanyuka kwa uchumi wa marekani. Anastahili kujipongeza. HIvi JK alipokea Nchi toka kwa mzee mkapa ikiwa bora kuliko ilivyo, angejipongeza kwa lipi zuri alilolifanya.
 
angekua JK hapa tungelalama mwaka mzima!!:dance:

,,,mbona mkapa alikuwa anakunywa Konyagi yake tarumbeta hatukuwa na tabu yake......cha muhimu kazi tu ...hata JK akitaka anaweza kunywa wine zake za st.anne kama,tunajuwa analamba ka wine kidogo..sio bia wala nyagi....
 
Huyo anajiburudisha baada ya kuonekana kwa kuanza kunyanyuka kwa uchumi wa marekani. Anastahili kujipongeza. HIvi JK alipokea Nchi toka kwa mzee mkapa ikiwa bora kuliko ilivyo, angejipongeza kwa lipi zuri alilolifanya.

Mauwaji ya raia zake na kuongeza kushuka kwa Shs thamani
 
Alini-bore alivyomgwaya Netanyahu juzi. Marekani kwa Israel ni kama JK kwa RA!
 
Alimgwaya au alimuudhi? Labda mimi nilipata taarifa tofauti

Alimgwaya. Netanyahu alikataa mbele ya waandishi wa habari pendekezo la awali la Obama la kutaka Israel irudi kwenye mipaka yake ya mwaka 1967 huku Obama akimkodolea macho tu ameshika shavu kama yatima! Angalau angemuuliza kama Israeli ambayo haikuwa NCHI hadi mwaka 1948 ardhi yake ya kupewa ingemegwa kwa mtindo ule angekubali?
 
Inaitwa "BLACK STUFF" pombe ya asili kwa watu wa ireland.nlipokuwa Dublin niilioonja ni nzuri kwa afya ya akili na inaoondoa uvivu.
 
angekua JK hapa tungelalama mwaka mzima!!:dance:

Tatizo lake angekuwa anajpongeza kwa lipi analofanya?
Then anajifanya hanywi pombe JK bwana, haya hunywi OB anakunywa mbona kakuzidi saaaaaaaaaaaaaaaaaaaana ubongo?
 
angekua JK hapa tungelalama mwaka mzima!!:dance:

Rais wenu kama anapiga kazi na anatanguliza maslahi ya nchi mbele na kazi yake inaonekana aiafanya mambo kama haya hata nyinyi mnafurahi , wewe unakumbuka JK wa mwaka 2005?
 
Halafu kitu kingine huyu jamaa anafiti kila kona hembu cheki:
Barack-Obama-and-David-Ca-007.jpg

Hapa akicheza mchezo wa PingPong hapa tunauita Table Tennis
obama-playing-basketball.jpg

Hapa akicheza Basketball

images

Hapa akiyarudi mangoma kounyesha kua hayuko nyuma!
 
Kikwete anacheza mpira wa Miguu vizuri kweli, Kikwete pamoja na kupenda wanawake hanywi pombe kabisa... Yeye ni Juice I recomend him for that i can say he's classy na sio muislam fundamentalist, socially he's the best Tanzania ever had... hana tatizo marafiki zake kunywa pombe...

I like that about him...
 
ooh my my kikwete.
 
acha ale bata......huwez kumlinganisha hata kidogo na m/kiti wa chama cha magamba
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom