Mkuu wa mkoa wa DSM atoa tamko!

Mkuu wa mkoa wa DSM atoa tamko!

nawashauri waislam watulizane watunze nguvu hadi hapo 2015 akishaingia rais mkristo
 
msalimie sana bana...mwambie sasa wapambane waingo'oe ccm madarakani ,sijui wanataka nani aongoze nchi hii,ninafurahi kua viongozi wakuu ni waislam na bado wanalalamika,edo aje naye tuone kama hajafumua matumbo watu.
Wewe huwajui hawa wewe...
kelele zote hizi, leo hii ukiitishwa uchaguzi, kura zote wanawapa CCM.

usifanye mchezo na watu wanaofikiria kulia kwenda kushoto
 
Wakiingia barabarani wavunjwe miguu kwa virungu. Bazazi wakubwa
 
Ongeza nusu ingine na ndizi Mpwa umenifurahisha sana. Baadae naenda Segerea kumtembelea Pondwa nitambebea kanusu kilo


Haya sio matamshi mazuri. Lazima tuwe wavumilivu na kuzuia midomo yetu kutoa kauli zenye muelekeo wa kichochezi hasa kwa hawa ndugu zetu maana itachuliwa ni kauli ya kanisa sio yako mkuu. Utulivu muhimu chochote kibaya kikitokea hakuna upande utakao salimika. Sema tu wahuni hawatakuwa na cha kupoteza.
 
saa hiv saa saba ususu, swala ya ijumaa haijaisha tu,

au hawajaswali leo baada ya kuona maji ya kuwasha na askari wakiwa na vitu vyenye ncha kali!!!!
 
Wewe huwajui hawa wewe...
kelele zote hizi, leo hii ukiitishwa uchaguzi, kura zote wanawapa CCM.

usifanye mchezo na watu wanaofikiria kulia kwenda kushoto
Mkuu Bigirita, mbavu zangu zimekukosea nini? nina kaoperesheni ubavuni. Sasa kama unanitakia mema usitake kafumuke pliz.
 
Huwa tunawalaumu waislamu bure,ata sie wakristu kuna wajinga wapo wenye udini..wanachukulia mzaha aya mambo..sio mafundisho ya Yesu ayo,hakuwai kukashifu iman ya mtu yoyote.
 
mmmmh mmenitamanisha kitu cha hotchair na mm naenda kuagiza mmh hivi mbona kitimoto inamajina mengi na ni nani anaeyatunga kwa kuficha nn mara Noah,hotchair,mbuzikatoliki nk yanatoka wapi?
 
CDM wameandamana, wamefanya mikutano na kutoa elimu ya urai jinsi ya kuitetea Nchi yetu juu ya dhuluma inayofanywa na CCM wakaonekana wachochezi na wapenda fujo, lakini ukweli unabaki kuwa hali mbaya ya kipato cha mwananchi mmoja mmoja nayo pia inasababisha vurugu kama hizi, kwa wenzetu wa Zanzibar, wao muungano bado hawaridhiki nao, lakini kwa vile CCM wanajua wanacholinda kwenye muungano ndio maana hawataki hata kuuongelea wala kusikia mtu akiukosoa.

Mawazo yangu yananiambia adui anayefanya maisha yetu yawe magumu hata kushawishiwa kirahisi kujiingiza katika fujo za kijinga namna hii si makanisa wala wakristo ni SERIKALI YA CCM, fikirieni tena na tena, wanachofanya CDM katika M4C si kuchochea vurugu ni kwa ajili ya ukombozi wa Taifa hili.

Kwa kipindi kirefu baadhi ya watu wamedhani kwa kuwa na kiongozi Muislamu basi maisha ya Waislamu yatabadilika ghafla, haya sasa Rais, Makamu,IGP na mawaziri kibao, huko Zanzibar ndio usiseme karibu wote waislamu lakini maisha yako vilevile na yatabaki hivyo hivyo kama KIRUSI CCM hakitaondoka madarakani.

TUACHE UDINI, TUJIUNGE PAMOJA, TUILILIE NA KUIJENGA UPYA NCHI YETU......MUNGU IBARIKI TANZANIA
 
Back
Top Bottom