Mkuu wa mkoa wa DSM atoa tamko!

Mkuu wa mkoa wa DSM atoa tamko!

point...point mwana.lini utagombea ubunge nikupe kakura kangu?kanauzwa tulaki tuwili tu.
 
Njia ile ni nyembaba ieandayo uzima. Njia nyembamba waendao ni wachache bali njia pana waendao ni wengi. tutafika tu tunakotaka kwenda. Naihurumia Tanzania Ee Mola utasaidie kutupatia hekima na maarifa kwa matatizo hayo yanayotukumba.
 
Amewahasa waislamu wanaotaka kuandamana leo kwenda ikulu wasifanye hivyo.

source:ea radio(Zembwela)

wasiende ikulu waende wapi sasa??au ndio anawatuma kuja kanisani kwetu??yule naye ana damu ya osama bin laden
 
waislam kwa waislam wanapambana...so waislam wanapambana na serikali ya jk,bilal,othman,mwema na kova....kazi kwenu ngoja nile kitimoto nusu hapa.
na wewe inabidi tukuonee huruma,hujajua kitimoto ina madhara?haiishi miaka miwili kichwa kinashikana na kifua na shingo inamezwa!si unamuona kiti moto mwenyewe hana shingo!we fikiri tu unawakomoa waislam.
 
na wewe inabidi tukuonee huruma,hujajua kitimoto ina madhara?haiishi miaka miwili kichwa kinashikana na kifua na shingo inamezwa!si unamuona kiti moto mwenyewe hana shingo!we fikiri tu unawakomoa waislam.

hapa nilipo nishanenepa sana hata sihitaji ushauri wako...lete na konyagi.
 
I wish wale Wajeda wangeshuka ktk matingatinga yao!! Maana naona kipondo chao kingewatosheleza hawajapata kipigo vizuri hawa. Watu wagumu kama mawe?? Matangazo kila mahala bado wamejikusanya??
 
sijasikia polisi wameua kumbe wana uwezo wa kupambana bila kuua kama mwangosi
 
Mkuu nimependa busara yako, nimekuelewa vizuri ilia na wewe umeniacha hoi hapo mwishoni kwene redi, mbona na wewe umewaita wahuni?
Haya sio matamshi mazuri. Lazima tuwe wavumilivu na kuzuia midomo yetu kutoa kauli zenye muelekeo wa kichochezi hasa kwa hawa ndugu zetu maana itachuliwa ni kauli ya kanisa sio yako mkuu. Utulivu muhimu chochote kibaya kikitokea hakuna upande utakao salimika. Sema tu wahuni hawatakuwa na cha kupoteza.
 
Back
Top Bottom