Mkuu wa Mkoa wa Arusha Azomewa na Wananchi Karatu

Mkuu wa Mkoa wa Arusha Azomewa na Wananchi Karatu

Hii nayo ni habari?
Chadema mmechoka kiakili, kimwili mpaka kimawazo. Siku zote ni watu wakufurahia utengano katika Taifa
hivi katika hili unaona hao chadema ndo wenye matatizo kweli?..........................ki saikolojia hali uliyo nayo inaitwa "displacement"
 
Na huu ni mwanzo tu,serikali isipokua makini na kuwasikiliza wananchi itaenea nchi nzima. Kumbukeni arab spring ilivyoanza.
 
Mwenye hekima na busara anapoona amezomewa au mawazo Yake yamekataliwa na wengi anakaa chini na kujitathmini kisha kufanya maamuzi sahihi yenye tija, siyo kuwakamata waliompinga na kuwatisha.
 
Nilivyoona heading nimekuja mbio nikasahau hata kuvaa nguo za ndani, kumbe!?
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
Hii nayo ni habari?
Chadema mmechoka kiakili, kimwili mpaka kimawazo. Siku zote ni watu wakufurahia utengano katika Taifa
Hakika hii naunga mkono kwakweli upinzani na maana ya upinzani kwa taifa letu ni tofauti wanaombea watanzania tuteseke ili watafute kiki hii haijakaa vyema
 
Pathetic..kwani sheria inasemaje kuhusu vyanzo vya maji mbona watu mnatokwa na povu kiasi hiki?
 
Back
Top Bottom