Mkuu wa Mkoa wa Arusha Azomewa na Wananchi Karatu

Mkuu wa mkoa wa Arusha ndg Mrisho Gambo amekutana na hasira ya wananchi katika wilaya ya Karatu.Gambo amezomewa na kuachwa pekee yake mkutanoni kufuatia yeye Gambo kupuuza agizo rasmi la waziri mkuu ambaye aliagiza Pampu za matajiri wachache kuondolewa kwenye vyanzo vya maji,baadhi ya watu wakatoa mashine zao kwa hiari na wale wengine waliokaidi agizo hilo mashine zao zilitolewa kwa Nguvu na mkuu wa Wilaya kutumia jeshi la police na mashine zote zikawa zimetolewa kwenye chanzo

Na baada wiki mbili toka waziri mkuu aondoke wakajitokeza watu wengine na kurudisha mashine zao kwenye chanzo na baada ya wananchi kuona kuwa kuna kundi ambalo limekaidi agizo la waziri mkuu wakaamua kupiga mwano yaani wakapiga YOWE na wakaamua kwenda kutoa mashine zote zilizorudishwa na pia mashine hizo zote zilichomwa moto na wananchi wenye hasira kali hiyo ilikuwa jana tar 27/12/16.

Hivyo baada tukio la jana Mhe Mkuu wa Mkoa wa Arusha ndg Mrisho Gambo akaamua kuja Karatu bonde la Eyasi na wanachi wakaalikwa na wananchi walijitokeza kwa wingi sana

Mkuu wa Mkoa akaja asubuhi ya leo akifuatana na kamati ya ulinzi na usalama mkoa na wakaenda kukagua mashine zote zilizochomwa na wanachi jana lakini ikumbukwe kuwa hata leo asubuhi wananchi waliendelea kuchoma mashine zote zilizowekwa kwenye chanzo,,,

Na mkuu wa Mkoa akaanza kuhutubia akaanza Eyasi hoyeee wananchi kimya,,,,karatu hoyeeeee kimya na baada ya hapo akasema naona ni kama hamnielewi naombeni basi niwakaribishe madiwani wa kata hizi yaani kata ya Baray na Mang'ola aliuliza wapo? Wananchi wakajibu wapo basi akakaribishwa mhe Thomas Darabe diwani kata ya Baray ambaye pia ni mwenyekiti wa CHADEMA Wilaya hivyo akaeleza jinsi ambavyo waziri mkuu aliagiza mashine zitolewe kwenye chanzo na pampu zote ziwekwe umbali wa mita 500 wanachi wakamshangilia sana na akakaribishwa Diwani wa mangola CCM naye akawa upande wa wanachi akashangiliwa kama mwenzake wa chadema baada ya hapo akakaribishwa mkuu wa Wilaya ya Karatu Mhe Taresia mahongo ndipo pale wanachi waliposimama na kuanza kupiga miluzi na kumzomea sana na mkuu wa Mkoa akaamua kumshusha jukwaani na akasema kuwa sasa yeye ataanza kuongea na akaanza kwa kusema kuwa mashine zote ni marufuku kwenye chanzo badala yake mashine ziwekwe umbali wa mita 60 hapo ndipo wananchi walipoanza kupiga kelele wakidai kuwa waziri mkuu aliagiza mita 500 leo wewe unasema mita 60 haiwezekani,, hapo wananchi waanza kusimama na kuanza kuondoka na kumwacha mkuu wa Mkoa akiwa jukwaani na ikawa ndo mwisho wa mkutano ikabidi ashuke jukwaani,,,

Sababu kubwa ambayo wananchi wanalalamikia ni kitendo cha waziri mkuu kusema Mashine ziwekwe umbali wa mita 500 toka chanzo cha maji na leo mkuu wa Mkoa kusema iwe mita 60 ,, wananchi wanaamini kuwa mkuu huyo wa mkoa anawahujumu wananchi na amepunguza hizo mita kutokea 500 za waziri mkuu hadi 60 kwa sababu ya kumpendelea mkulima mkubwa wa vitunguu ambaye pia ni mnec wa CCM ndg Daniel Awaki

Ikumbukwe kuwa hicho chanzo cha maji inategemewa na wananchi zaidi ya 20 Elfu(20,000) kwa huduma za kawaida kama kunywesha Ng'ombe na matumizi ya maji ya kawaida hivyo kitendo cha watu kuweka pampu kwenye chanzo kinawafanya wao kukosa maji

Na baada ya wananchi kumwacha mkuu wa Mkoa jukwaani ikabidi ashuke na akaagiza Madiwani wa kata ya Baray na mang'ola wakamatwe na tumejitahidi kutafuta mdhamana lakini imeshindikana police wanasema ni kwa order ya RC hivyo wanasubiri RC Gambo atoe maelekezo mengine.

Taarifa za uhakika kutoka Mangola Karatu zinasema kuwa wafanyabiashara wenye Ukwasi mkubwa wa fedha wamempa Mkuu wa mkoa fedha nyingi ili awasaidie.Rc Gambo ni miongoni mwa the most corrupt leaders in Arusha.Itakumbukwa kuwa alipewa fedha kule Loliondo,sasa Karatu.
Tabia yake hii ni aibu na fedheha kwa mteule wake yaani Mh Rais wa nchi ambaye amejipambanua kupambana na rushwa na ufisadi
Kazi ipo !
 
Hii nayo ni habari?
Chadema mmechoka kiakili, kimwili mpaka kimawazo. Siku zote ni watu wakufurahia utengano katika Taifa
458d6032c6a8371dea55c0b253172ff3.jpg

Mbogamboga bhana..... Shida tupu. Kwao hii ndio habari[emoji115] [emoji115]
 
Tatizo ni wingi wa thread zinazomchafua Gambo, tunashindwa kujua kati ya hizo fitna ni zipi na zipi ni ukweli
 
Ukiwa wa mtumwa wa kiakili ni balaa zaidi
Sasa suala la Maji nalo lina chama au wananchi waliokosa Maji ni wananchi wa Chadema peke yake?
Anyway sina chama wala sifanyi siasa ila kwa ufupi umepotoka mkuu
Hivi umeliona andishi lilivyowasilishwa? Kama sio la kichama kwa nini waliokamatwa ni madiwani wa chadema. Ukimsoma mwandishi wa bandiko hili ameandika bila kuficha mapenzi yake. "Inadaiwa watu wenye ukwasi" eti hii ni habari..
 
Pia Kumbuka hao matajiri jamaa anawatumia kwa maslahi yake yeye, rais na chama chake katika kuishambulia chadema Arusha. Amekuwa akiwachangisha mchango wa pikipiki ambazo waziri mkuu alikuja kuzindua hapa Arusha majuzi. Lengo ni kufanikisha pikipiki za kutosha kuwapa vijana ambao ndo mtaji wa chadema kama mkopo harafu kila siku kutokana na marejesho hayo pikipiki mpya iwe inanunuliwa na kumkabidhi kijana na mpaka kufikia 2020 vijana wengi wawe wametekwa na ccm. Kwa hiyo ndani ya ccm msitegemee jipya...
 
Hivi umeliona andishi lilivyowasilishwa? Kama sio la kichama kwa nini waliokamatwa ni madiwani wa chadema. Ukimsoma mwandishi wa bandiko hili ameandika bila kuficha mapenzi yake. "Inadaiwa watu wenye ukwasi" eti hii ni habari..

Rudi ukasome tena waliokamatwa ni Diwani wa Ccm na Chadema.
 
Hivi umeliona andishi lilivyowasilishwa? Kama sio la kichama kwa nini waliokamatwa ni madiwani wa chadema. Ukimsoma mwandishi wa bandiko hili ameandika bila kuficha mapenzi yake. "Inadaiwa watu wenye ukwasi" eti hii ni habari..
Rudia kusoma vizuri andiko inaonekana hujalielewa. Mwandishi hajaweka itikadi na ndo maana ameongelea pia juu ya diwani wa chadema na ccm. Na madiwani waliokamatwa ni wa chadema na ccm. Labda wewe ndiye unataka kuongezea maneno yenye mlengo wa kiitikadi na hasa kwa kujionesha ulovyo mbumbu.
 
Mkuu wa mkoa wa Arusha ndg Mrisho Gambo amekutana na hasira ya wananchi katika wilaya ya Karatu.Gambo amezomewa na kuachwa pekee yake mkutanoni kufuatia yeye Gambo kupuuza agizo rasmi la waziri mkuu ambaye aliagiza Pampu za matajiri wachache kuondolewa kwenye vyanzo vya maji,baadhi ya watu wakatoa mashine zao kwa hiari na wale wengine waliokaidi agizo hilo mashine zao zilitolewa kwa Nguvu na mkuu wa Wilaya kutumia jeshi la police na mashine zote zikawa zimetolewa kwenye chanzo

Na baada wiki mbili toka waziri mkuu aondoke wakajitokeza watu wengine na kurudisha mashine zao kwenye chanzo na baada ya wananchi kuona kuwa kuna kundi ambalo limekaidi agizo la waziri mkuu wakaamua kupiga mwano yaani wakapiga YOWE na wakaamua kwenda kutoa mashine zote zilizorudishwa na pia mashine hizo zote zilichomwa moto na wananchi wenye hasira kali hiyo ilikuwa jana tar 27/12/16.

Hivyo baada tukio la jana Mhe Mkuu wa Mkoa wa Arusha ndg Mrisho Gambo akaamua kuja Karatu bonde la Eyasi na wanachi wakaalikwa na wananchi walijitokeza kwa wingi sana

Mkuu wa Mkoa akaja asubuhi ya leo akifuatana na kamati ya ulinzi na usalama mkoa na wakaenda kukagua mashine zote zilizochomwa na wanachi jana lakini ikumbukwe kuwa hata leo asubuhi wananchi waliendelea kuchoma mashine zote zilizowekwa kwenye chanzo,,,

Na mkuu wa Mkoa akaanza kuhutubia akaanza Eyasi hoyeee wananchi kimya,,,,karatu hoyeeeee kimya na baada ya hapo akasema naona ni kama hamnielewi naombeni basi niwakaribishe madiwani wa kata hizi yaani kata ya Baray na Mang'ola aliuliza wapo? Wananchi wakajibu wapo basi akakaribishwa mhe Thomas Darabe diwani kata ya Baray ambaye pia ni mwenyekiti wa CHADEMA Wilaya hivyo akaeleza jinsi ambavyo waziri mkuu aliagiza mashine zitolewe kwenye chanzo na pampu zote ziwekwe umbali wa mita 500 wanachi wakamshangilia sana na akakaribishwa Diwani wa mangola CCM naye akawa upande wa wanachi akashangiliwa kama mwenzake wa chadema baada ya hapo akakaribishwa mkuu wa Wilaya ya Karatu Mhe Taresia mahongo ndipo pale wanachi waliposimama na kuanza kupiga miluzi na kumzomea sana na mkuu wa Mkoa akaamua kumshusha jukwaani na akasema kuwa sasa yeye ataanza kuongea na akaanza kwa kusema kuwa mashine zote ni marufuku kwenye chanzo badala yake mashine ziwekwe umbali wa mita 60 hapo ndipo wananchi walipoanza kupiga kelele wakidai kuwa waziri mkuu aliagiza mita 500 leo wewe unasema mita 60 haiwezekani,, hapo wananchi waanza kusimama na kuanza kuondoka na kumwacha mkuu wa Mkoa akiwa jukwaani na ikawa ndo mwisho wa mkutano ikabidi ashuke jukwaani,,,

Sababu kubwa ambayo wananchi wanalalamikia ni kitendo cha waziri mkuu kusema Mashine ziwekwe umbali wa mita 500 toka chanzo cha maji na leo mkuu wa Mkoa kusema iwe mita 60 ,, wananchi wanaamini kuwa mkuu huyo wa mkoa anawahujumu wananchi na amepunguza hizo mita kutokea 500 za waziri mkuu hadi 60 kwa sababu ya kumpendelea mkulima mkubwa wa vitunguu ambaye pia ni mnec wa CCM ndg Daniel Awaki

Ikumbukwe kuwa hicho chanzo cha maji inategemewa na wananchi zaidi ya 20 Elfu(20,000) kwa huduma za kawaida kama kunywesha Ng'ombe na matumizi ya maji ya kawaida hivyo kitendo cha watu kuweka pampu kwenye chanzo kinawafanya wao kukosa maji

Na baada ya wananchi kumwacha mkuu wa Mkoa jukwaani ikabidi ashuke na akaagiza Madiwani wa kata ya Baray na mang'ola wakamatwe na tumejitahidi kutafuta mdhamana lakini imeshindikana police wanasema ni kwa order ya RC hivyo wanasubiri RC Gambo atoe maelekezo mengine.

Taarifa za uhakika kutoka Mangola Karatu zinasema kuwa wafanyabiashara wenye Ukwasi mkubwa wa fedha wamempa Mkuu wa mkoa fedha nyingi ili awasaidie.Rc Gambo ni miongoni mwa the most corrupt leaders in Arusha.Itakumbukwa kuwa alipewa fedha kule Loliondo,sasa Karatu.
Tabia yake hii ni aibu na fedheha kwa mteule wake yaani Mh Rais wa nchi ambaye amejipambanua kupambana na rushwa na ufisadi
Leta picha
 
Kwani mteuzi wake sio mpokea na mtoa Takrima
 
Kwa vile mkuu wa mkoa anapingana na waziri mkuu kwa manufaa ya tumbo lake ni vyema wananchi wakakaa pembeni kuona nani mwenye mamlaka zaidi ya mwenzake.
Huyo mkuu wa mkoa madaraka aliyonayo yamemlemea kiasi kwamba kiburi na dharau ndio wananchi wanachokiona.Waziri mkuu ni msaidizi wa karibu wa Rais hivyo kama angetaka kutengua kauli ya Waziri Mkuu angeshauliana nae kwanza kabla ya kuitisha mkutano na wananchi.Cheo ni dhamana.
 
Zipo habari nyingi zenye faida kubwa kwa nchi hii. Sidhani kama kuzomewa kwa Gambo ni Habari. Gambo ni Mtu wa kawaida hata kama ni mteule wa Rais. Kuandika kila kinachotokea ni kuonyesha chuki zisizo na maana. Tujiulize HIVI BAADA YA KUMZOMEA NI KIPI WANANCHI WAMEFAIDIKA? Hizi siasa za kipuuzi mkoani Arusha
Are you serious?!
 
Hii nayo ni habari?
Chadema mmechoka kiakili, kimwili mpaka kimawazo. Siku zote ni watu wakufurahia utengano katika Taifa
Wewe ndo mbumbumbu kweli, hivi hao wenye pumps wangeamua kujihami KWA silaha na kuua watu ndo ingekuwa habari sio.?!;!!!!!!!. Ptuuuuuu!!!!!!!?!
 
Hii nayo ni habari?
Chadema mmechoka kiakili, kimwili mpaka kimawazo. Siku zote ni watu wakufurahia utengano katika Taifa
hiyo ni habari kama ambavyo viongozi wetu wanavyopenda kuandikwa kwenye media. sasa kama amezomewa inabidi iripotiwe hivyo hivyo.
 
Back
Top Bottom