Mkuu wa mkoa wa Arusha amwagiwa maji stand ya mabasi ya Arusha mjini

Status
Not open for further replies.
Nani kampa sumu Mwakyembe? hebu tujuze ndugu..labda unawezakuwa na habari za ndani.

Wewe! Ushasahau mara hii rejao? Unakumbuka mlivyosuka mpango kumporomoshea mlima kitonga halafu ikashindikana. kisha mkaanza kumfuatilia kumwuua kwa risasi, akatoa data mkapotezea kwa muda. Kisha mkulu akasema siku hizi hata mtu akiwa anakunywa na mtu hamwamini - akitaka kwenda chooni anatoka na kinywaji chake. Basi mlikuwa mmemfuatilia siku nyingi mpaka alipojisahau kidogo wewe ukamwekea. Ukitaka picha nitakuwekea.
 
Nimejichekea kimoyomoyo! Watu wanatamani kila adha impate rc wa arusha wanabaki kutunga hadithi kila mara!
 
Mkuu wa mkoa wa Arusha ameendelea kukutana na misuko suko jijini humo, baada ya leo kumwagiwa maji akiwa maeneo ya standa ya mji huwo, alijikuta akizomewa na kuaambiwa hapa ni Arusha.

tulikwisha mueleza kuwa Arusha hamna bahari hapa ni milima mwanzo mwisho.
 
Nimejichekea kimoyomoyo! Watu wanatamani kila adha impate rc wa arusha wanabaki kutunga hadithi kila mara!

Tena unajiuliza ni kwa vipi mtu mwenye akili zake timamu anashabikia vitendo vya uvunjifu wa amani, kukosa heshima na udhalilishaji wa viongozi. Halafu serikali ikijibu mapigo mnalalamika. Tunajua wanaochochea hizo vurugu na dhamira zao. Lakini gamba litavuka tu hata iweje!
 
Mkuu wa mkoa wa Arusha ameendelea kukutana na misuko suko jijini humo, baada ya leo kumwagiwa maji akiwa maeneo ya standa ya mji huwo, alijikuta akizomewa na kuaambiwa hapa ni Arusha.

Siku nyingine watammwagia kinyesi amezidi nae unoko
 
Du! kama kweli kamwagiwa maji pole yake lakini inabidi na yeye anatakiwa afanye kazi zake kwa utaratibu sio kwa itikadi za kisiasa hapo atafanikiwa lakini kama ataendeleza siasa itakula kwake na atapaona pachungu hapo arusha
 
next time nashauri wakazi wa arusha watembee na kokoto mifukoni mwao na kwenye mikoba yao, wakimuona tu.....................
 
Bhange @ work!:bange::bange::bange::bange:
naona unaendelea kufanya unachokiweza zaidi humu mtandaoni tu!!

dogpooping.gif
 
Tena unajiuliza ni kwa vipi mtu mwenye akili zake timamu anashabikia vitendo vya uvunjifu wa amani, kukosa heshima na udhalilishaji wa viongozi. Halafu serikali ikijibu mapigo mnalalamika. Tunajua wanaochochea hizo vurugu na dhamira zao. Lakini gamba litavuka tu hata iweje!
Acha visingizio kwa mzee wa watu,kila kitu yeye tu? Think beyond that if you have brains and good IQ.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom