Mkuu wa Mkoa Dar na Halima Mdee (MB)

Mkuu wa Mkoa Dar na Halima Mdee (MB)

OgwaluMapesa

JF-Expert Member
Joined
May 24, 2008
Posts
10,942
Reaction score
437
Makonda jifunze hapa. Siasa sio uadui wala sio vita. Kikubwa ni kuwatumikia wananchi kila mtu kwa nafasi yake!
 
Attachments

  • 1450196600771.jpg
    1450196600771.jpg
    51.2 KB · Views: 7,957
Tunasema hafai huyu mkuu wa wilaya!, asilete ubabe usio na mantiki, mwambie ajifunze kutoa kwa Magufuli, watu wanawatia hatia wala rushwa wa makonteina huku wakiwa na data tangu siku nyingi!, huyu jamaa ni visasi tu!
 
Dogo yupo fiti alimzabua babu makofi mpaka akapoteza netiwork. Then kamwangukia mwana wa mfalme na kumfungia kiatu. Tutarajie mengi,
 
Mtatetea sana kubenea. Kabugi huyo, mue wakweli. Viva makonda
 
Ujana unamsumbua makonda anatafuta kick ili magufuli asimsahau.

Siyo ujana....mbona temeke inaongozwa na kijana/binti na ana hekima? Makonda is mentally retarded...hafai hata kuwa mjumbe wa serikali ya mtaa. Ni bahati mbaya sana ccm ya sasa imepofuka
 
Back
Top Bottom