Odhiambo cairo
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 16,352
- 22,958
Kubenea ni kuwadi wa lowasa
Lowassa si mTz kwani ??!! Usipomtaja hulipwi ?!
Kubenea ni kuwadi wa lowasa
vijana wote waliopewa madaraka wakati wa jk wamevurunda vibaya sana ! unamkumbuka mrisho gambo ?Makonda jifunze hapa. Siasa sio uadui wala sio vita. Kikubwa ni kuwatumikia wananchi kila mtu kwa nafasi yake!
Makonda jifunze hapa. Siasa sio uadui wala sio vita. Kikubwa ni kuwatumikia wananchi kila mtu kwa nafasi yake!
Picha nzuri sanaMakonda jifunze hapa. Siasa sio uadui wala sio vita. Kikubwa ni kuwatumikia wananchi kila mtu kwa nafasi yake!
Msimlishe maneno mzee warioba alishasema hakupigwa na makonda ila aliokolewa na makonda kwanini bawacha mnapenda kushadadia uongo
Hivi halima si mtoto wa kiislamu!!?
Wakujifunza ni Kubenea lazima ajue mipaka yake na ajifunze kufanya kazi na watendaji wa serikali
Mtatetea sana kubenea. Kabugi huyo, mue wakweli. Viva makonda
Hivi halima si mtoto wa kiislamu!!?
wakuu eti yanga na mgambo wametoka ngapi ngapi?
Tunasema hafai huyu mkuu wa wilaya!, asilete ubabe usio na mantiki, mwambie ajifunze kutoa kwa Magufuli, watu wanawatia hatia wala rushwa wa makonteina huku wakiwa na data tangu siku nyingi!, huyu jamaa ni visasi tu!