Shepherd
JF-Expert Member
- Dec 14, 2012
- 2,428
- 1,659
Mimi nikijana na nafanya kazi na watu walio nizidi umri sana but sijawahi koseana nao hata kama tukikwaruzana natumia hekima kumaliza mambo yaahani nazitawala hisia zangu.Pia jamani tabia ya mtu inachangiwa na vitu vingi sana mfano kurithi,makuzi na mazingira na pia kuna kitu kinaitwa ego kwenye saikolijia hivyo kila mtu ana namna anavyo weza kuhandle mambo.