Mkuu wa Mkoa Dar na Halima Mdee (MB)

Mkuu wa Mkoa Dar na Halima Mdee (MB)

Nilifikir utasema/kujibu kuwa Mkuu wa mkoa alipofunga mkutano Halima Mdee naye aligoma akilazimisha kuongea na akamtukana KIBAKA bali mkuu wa mkoa akasema hongera halima good job
 
Wakujifunza ni Kubenea lazima ajue mipaka yake na ajifunze kufanya kazi na watendaji wa serikali

Yaani wewee kila kitu kinacho ikosoa serekali ya ccm lazima upinge na uone kiko sawa, hata mfano serekali ya ccm ikisema ndoa ya jinsia moja ni sawa lazima ushadadie na uunge mkono, akili za mpumbavu ni kaburi lake hakika.
 
Wakujifunza ni Kubenea lazima ajue mipaka yake na ajifunze kufanya kazi na watendaji wa serikali
Makonda alipokuwa akimfunga nyuzi za viatu Prince Mkwere, alikuwa anajua mipaka yake? au wa kujua mipaka ni Said tu?
 
Mbona unatoa funzo kwa mmoja kubenea je?yeye kafanya vizuri kutukana matusi mbele ya wapiga kura wao
 
Halima hajamtusi mkuu wa mkoa, Kubenea kamtusi dc makonda akiwa anatekeleza wajibu wake, kubenea ni haki anyee debe
 
Laana ya kumpiga Mzee Warioba itamuandama Makonda hadi kaburini

Mzee Warioba alishakanusha habari hizi. Hakupigwa. Ila katika watu waliomuokoa Mzee Warioba ni pamoja na huyu DC. usilete ishu zisizo husiana na mada.
 
Ni kawaida ya wana ccm kuunga mkono kila kitu kutoka kwa viongozi wao. Hata katibu mkuu wa chama mzee kinana alishawahi kulalamikia unafiki na kuunga mkono hoja zote za serikali.
Makonda hafai kuwa kiongozi wa hadhi ya DC ila kwa kuwa hakuna mahali pameandikwa sifa za mtu kuwa Dc basi acha aendelee. Maana Dc na Rc ni vyeo vya ajabu sana tanzania...kuna maprofesa,kuna wenye shahada moja pia. Kuna kapteni na pia kuna luteni kanali. Kuna wenye busara na kuna wanao tumia masaburi kufikitia nk
 
Nacheka sana watu wazima wenye akili zenu mkijadili hii takataka inayoitwa Makonda,uliza sisi tuliekuwa nae Butimba mpaka MUCCoBS.
 
Mtatetea sana kubenea. Kabugi huyo, mue wakweli. Viva makonda

Kabugi kwa kumwita mwizi wa simu Kibaka? Mlitaka amwite nani? Mtakatifu? Au vibaka ni wale wezi wa simu mtaani lakini anayeiba simu za wajumbe wa Bunge la katiba ana jina lingine?
 
Back
Top Bottom