Hakuna busara kubwa yoyote hapa. Ni maamuzi mepesi kabisa aliyochukua ukizingatia taarifa inasema alikuwa wapi na kulikuwa na kelele. Hata class monitor wa kidato cha pili akifanya hivi sishangai.Kwa kweli ametumia busara kubwa sana, ingawa yeye ni wa imani nyingine. Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni, big up RC, ingekuwa ni Bashite angeitumia hiyo opportunity ku-create mgogoro usiokuwa na ulazima.
wewe ni mjinga, sasa angeendelea watu wangesikiaje..? yamkini wengine wasingemsikiliza wangesikiliza hiyo adhana kumpotezea, usijudge direct kuwa ana adabu. 🔙 nini umeandika hapo!!
Uzi unaanza kualibiwa hapaAllahu Akbar...muujiza huu ,,hii inaonesha dini safi na ya kweli ni ipi..we fikiria tangu nchi ipate Uhuru kitu cha hivi kimeanza Kutokea kwa uislam kwanini kisingeanza kwa makelele ya walokole??
Huu ni muujiza wa Allah na imeonyesha kabisa dini ipi ni ya haki na Muhammad ni mtume wa Mungu... Allahu akbar
Tatizo una wivuUzi unaanza kualibiwa hapa
Pongezi kwa wachangiaji waliopita mmeonyesha weredi wenu
Akili kisoda Bichwa kontena ashaanza kukichafua
Sent using Jamii Forums mobile app
Upo vizuri sanaKatika hali ambayo haijazoeleka miongoni mwa jamii, leo jijini Arusha katika uzinduzi wa Kampeni za Uhamasishaji wananchi kujiunga na vifurushi vipya vya Bima ya Afya, Mkuu wa Mkoa huo alisitisha hotuba kwa dakika kadhaa ili kupisha Adhana iliyokuwa ikisikika kutoka jirani na eneo la uzinduzi.
Hali hiyo haikuleta taharuki ila baadhi ya wananchi waliokuwepo uwanjani hapo waliuliza nini maana yake, pamoja na adhana kuwepo kila siku sehemu mbalimbali ila haijapata kutokea kiongozi ambaye ni mgeni rasmi kusitisha kwa muda hotuba ili sheikh anayeazini amalize.
Wataalam wa itifaki mnaweza kutiririka hapa chini, hii inakuwaje?
=====