Mkuu wa Majeshi kutembelea Kibiti kesho

Mkuu wa Majeshi kutembelea Kibiti kesho

Kwenda kibiti sio tatzo ishu chanzo cha mgogoro ni nn na wanamalizaje tatizo hili..
Kila siku tuu wanaenda viongoz af kesho tuu unaskia kafa mtu..

Serikali ijitathmin kweny huu mgogoro.
 
Sio sahihi kutumia TPDF Kibiti. Ni matumizi ya nguvu bila kutumia akili. Ni kazi ya POLICE kupeleleza Na kuchukua hatua. Ingekuwa adui anajulikana Na nguvu yake ni kubwa sana ndio tunaweza kutumia nguvu za TPDF. Awazidi Watu mia moja + 1000
 
Kule Kuna takiwa Mashushu wa Police, TPDF, Usalama wa taifa. Wachunga ng'ombe. Taahira. Wakulima. Mashekh. Wachungaji.
 
Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama, Jenerali Mabeyo anategemea kuzuru wilaya ya Kibiti kesho kujionea kinachoendelea huko.

Je ni uamuzi sahihi kwa CDF kufika Kibiti?

Source
Azam News
siyo uamuzi sahihi
 
Mkuu nimepishana na msafara wake saa hizi asubuhi...wale sweepers wa kwenye gari safisha njia ya MP nadhani ni komanndo maana mwendo wa msafara ule sip wa nchi hii, kwa namna anavyochora bata bata (trafiki tupa kule) afu wamevaa na kofia ngumu na mashine nzito mkononi na wametokeza nje ya madirisha kabisa...aisee kilwa road yote imesimama kwa muda wanaume wapite kwenda zao kibiti...salute kwako CDF mabeyo , natumai utarudi na mwarobaini wa hao wauwaji wanaokosesha raia usingizi,.

Afu no mbwembwe za difenda sala gari za kutisha tisha ...full vx kama 5 na ile ya MP, ila hawajatuweka foleni, yaani tumetembea nao, ama kweli wajeda hawataki mchezo mchezo.

Hata wangeenda na vifaru kule kunaitaji akiri sio Nguvu nambie wanaenda kupigana na Nani?
 
Correction ni Mkuu wa Majeshi ya ulinzi (Airforce,Marine na aedhini,Vikosi vywa JWTZ) na sio Mkuu wa majeshi ya Ulinzi na Usalama
Watu huwa wanachanganya kati ya Mkuu wa majeshi na Amiri mkuu wa majeshi ya ulinzi na usalama
 
Back
Top Bottom