Mkuu wa Majeshi kutembelea Kibiti kesho

Mkuu wa Majeshi kutembelea Kibiti kesho

anaenda kufanya nini sasa? Kwani ameskia ni vita mpaka akajionee kinacho endelea?
Waongeze nguvu tu kwenye intelijensia ili yeye aende kushuhudia kukamatwa kwao.
Matumizi mabaya ya pesa za Umma
 
Serikali hii kila mteuliwa anataka aonekane anafanya kazi. Ukiuliza CDF anaenda kufanya nini ambacho IGP hajafanya alipoenda huko huwezi kupata majibu.
Joint military and police operation. Majambazi ya Kibiti siyo mchezo.
 
Tungejulishwa Kwanza kwanini Ziara yake ambayo ilitakiwa kufanyika wiki iliyopita ilihairishwa ghafla pengine tungeweza sasa kuchangia kwa taarifa hii mpya ya Ziara yake ya Kesho huko Kibiti. Hata hivyo ' technically ' tu na hasa ' Kimedani ' sidhani kama hiyo ziara yake ina ulazima na sana sana naona itazidisha tu ' Hasira ' za Wauwaji hasa tukikumbuka kwamba wiki mbili nyuma Amiri Jeshi Mkuu na ambaye ni Bosi wake CDF Mabeyo Rais Dkt. JPM alijinasibu huku akijitapa mbele ya Watanzania kuwa hao ' Wauwaji ' wanakiona cha moto matokeo yake tu Kesho yake tukaona ' Watendaji ' wake ambao ni wale Matrafiki waliuwawa.

Kama Commander in Chief alipiga ' mkwara ' na Kesho yake tu ' Jamaa ' wakafanya yao je unadhani baada ya Ziara ya Chief of Defence Forces kesho ' tutawapoteza ' wangapi? Halafu katika ' medani ' ya masuala ya Kiusalama sidhani kama ni kitendo cha Kiuledi kwa ziara kama hii kutangazwa hasa ukizingatia kuwa yawezekana hata hawa ' Wauwaji ' wamepeana majukumu na kwamba labda wapo pia wenzao ambao kutwa wanashinda ' Mitandaoni ' kusoma ' mazingira ' na kisha wanawataarifu walio katika battle field. Najua fika kuwa Intelligence ya Kijeshi ( MI ) hasa ya Kitanzania ni imara sana ila kwakuwa tunapambana na Watu tusiowajua, hatujui lengo lao na mashambulizi yao ni very coordinated si busara kwa ziara hii kutangazwa kwa public kwani it is very risk.

Yawezekana tukitumia busara ndogo sana hili jambo likamalizika na tukayasahau haya mauaji ila kwa muendelezo huu wa kila siku kila mwenye mamlaka anakuja tu na matamko makali na ya hasira huenda ikatuchukua muda mrefu sana kumaliza hili tatizo. Hawa Wauwaji inaonekana ni well trained Snipers hivyo hata katika kuwakabili Kwake kunahitaji juhudi kubwa na mikakati mipana na siyo tu kufanya Ziara huko.

Kuna investigative articles nyingi sana zimeandikwa juu ya haya mauaji na hasa hasa kuna moja liliandikwa na Gazeti la MWANANCHI na nyingine wakaiweka online. Kama hizi mamlaka zingesoma vizuri ile article pamoja na zingine nadhani hizi mamlaka zingejua wapi kwa kuanzia kuliko kukurupuka huku kila mara kutaka kufanya ziara ili tu ku win the public ambayo sasa ina hofu. Kwa mfano sikuona pia sababu ya sisi Raia kutangaziwa kuwa askari wa JWTZ na ' Makomandoo ' baadhi wamepelekwa huko Kibiti bali hili lingebakia tu siri ya mamlaka husika. Sasa haingii akilini tunaambiwa Wanajeshi wa JWTZ na Makomandoo wapo huko kwa muda sasa lakini bado tu hawa ' Wauwaji ' wanaendelea ' Kuwauwa ' Watanzania wenzetu.

Inasikitisha, inaudhi na inauma sana tu.
jwtz na makomando
Wameenda bt Zero
 
Kinachohitajika ni intelligence kwa sasa. Hakuna operation bila intel. Some would say this is merely a show of power.
 
Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama, Jenerali Mabeyo anategemea kuzuru wilaya ya Kibiti kesho kujionea kinachoendelea huko.

Je ni uamuzi sahihi kwa CDF kufika Kibiti?

Source
Azam News
Correction ni Mkuu wa Majeshi ya ulinzi (Airforce,Marine na aedhini,Vikosi vywa JWTZ) na sio Mkuu wa majeshi ya Ulinzi na Usalama
 
Serikali hii kila mteuliwa anataka aonekane anafanya kazi. Ukiuliza CDF anaenda kufanya nini ambacho IGP hajafanya alipoenda huko huwezi kupata majibu.
May b kuna Bakabaka ameuawa huko
 
Kinachohitajika ni intelligence kwa sasa. Hakuna operation bila intel. Some would say this is merely a show of power.
Mkono wa Serikali uko kwenye hatua nzuri kurudisha hali ya amani kwa Watanzania wenzetu kule kibiti na maeneo jirani.
Ni suala la kila mwananchi kutoa ushirikiano ili kukomesha haya mauaji ya trained snipers.
Tunaomba uvumilivu na moyo wa subira ndugu zangu.
Tusiweke lawama mbele bali tutangulize uzalendo
 
Basi kesho kutakua na tukio tena maana hii trend kila ikitoka kauli au kutembelea huko basi huwa lazima tukio lipigwe
 
Nao wanaaibisha majeshi ya Tz kakibiti ndiyo kamewazungusha miezi yote hii.

Ingekuwa Alshabab au Qaida vipi

Ficha ujinga wako, kwa hiyo wewe unamjua ni nani!!!!! Majuzi ujinga huu umetikisa Ufaransa na Uingereza, kwa akili zako za kushikiwa unaweza ukaliongeleaje hilo!!!!!
 
Back
Top Bottom