Mkuu wa Majeshi kutembelea Kibiti kesho

Mkuu wa Majeshi kutembelea Kibiti kesho

Ushauri mbovu kuwahi kutokea...yaani Mkuu wa majeshi anaenda eneo la tukio tuliloambiwa ni wahuni tu? sasa nani atabaki nyuma yake kuandaa mikakati na kuyapitisha?

Sasa ripoti ambayo atatokanayo huko ndo final na ndo atamkabidhi Mkuu wake wa kazi je baada ya hapo tutegemee tena ripoti nyingine? na kutoka kwa nani
 
Kujionea kinachoendelea huko? Yale mabedui huwa yanavamia usiku, yanafanya uharamia wao na kutokomea kusikojulikana ndani ya muda mfupi. Sasa huyu Mabeyo anaendea ''kujionea'' nini hasa mchana wa jua kali?
 
Wako makamanda na wapiganaji wake huko mstari wa mbele, so liko tatizo lolote yeye kwenda kuwa tembelea na kuwapa morali? Je ipo sheria isemayo akisha enda mara moja hataruhusuwa kwenda tena ikibidi?

Haya matukio ya kama huko kibiti ya lianza lini hapa nchini?


Na washawasha!
 
Nilifikiri anaenda kufanya kazi kumbe kutembea. Halafu anatangaza kbsa haya ndiyo yale ya Bashite ys Madawa.
Wauaji wenyewe wanajua kucheza na muda.
Ukishazuru ndiyo utatokomeza mauaji? Aliyesema J letu ni dhaifu na ni wachumia tumbo wapo sahihi
 
Back
Top Bottom