Ktk protocol za kupigiwa salute marehemu anachukuliwa kuwa ni (mkubwa)mheshimiwa kuliko watu wote waliohai haijalishi alikuwa na wadhifa au cheo gani alipokuwa hai ndomaana utaona kwenye kuaga maiti CDF anaweza akampigia salute marehemu ambaye alikuwa ni askari mwenye rank ya private wakati wa uhai wake,au alikuwa raia wa kawaida tu.Maiti haipigiwi saluti inayo pigiwa salut Ni ile bendera juu ya jeneza na anae wekewa bendera juu ya jeneza lake nafikir ni askri wa cheo chochote wa majeshi ya ulinzi pamoja na viongozi wakubwa wa kisiasa