CDF hapigi saluti kwa Mbunge.....
CDF anapiga saluti kwa viongozi wa serikali...akiwemo DC,RC,Mawaziri na wateuliwa wengine wa rais kwenye utumishi wa umma sababu wale wanamwakilisha Rais au madaraka ya Rais kwenye wilaya na mikoa yao.....
Na sababu CDF na jeshi ni watiifu kwa serikali ndo mana waanguka saluti kwa wakuu wa mikoa na wilaya..
Wateule wa serikali haijumuishi wakuu wa mashirika,ma ded,Das,Ras, etc.......hawa hawapigiwi saluti since hawana collective leadership kama mkoa au wilaya.
Kuhusu maiti kupigiwa saluti ni salamu ya kijeshi kwa watu waliokua kwenye adhi ya u-amiri jeshi au makamanda etc.
Mbunge anaweza pigiwa tu saluti kama ni waziri wa wizara flani ya serikali.
Dr Hussein mwinyi alipigiwa sana alipokua ulinzi, kigwangwala utalii akifunga mafunzo ya tanapa na mawaziri wengine wa serikali maana nao wanamuwakilisha Rais so wanapigiwa saluti kwa heshima ya Rais.