Mkuu wa M 23 Colonel Sultan Makenga is Dead

Status
Not open for further replies.
Nikuulize swali kibogo; wewe unasikitika kwa huyo kiongozi wa waasi kuuliwa au la?
 
Waganda wanajidai hawawaungi mkono hao waasi. Kama hawawaungi mkono kwa nini hawakutangaza na kumweka chini ya ulinzi huyo kiongozi wa waasi alipoingizwa uganda akiwa majeruhi?
 
Wa Tz ni watu waajabu sana! Si mlisema wanajeshi wa tz hawaendi kupigana bali kulinda amani!

umesoma habari vizuri au ndio kukurupuka... sijaona wanposema watanzania wameshiriki kwenye shambulio, bali ni DRC
 
Mapigano yanayoendelea sasa Mashariki ya Kongo hasa Muja na Goma ni kati ya Majeshi ya Kongo na Waasi M23. UN Brigade chini ya Majeshi kutoka TZ, Malawi na South Africa wapo kulinda raia. Kwa ufasihi zaidi kwa mapigano yaliyanza last monday wao wapo kama watazamaji tu na kulinda raia. Sijui kwa nini wachangiaji wa JF wanahusisha kifo cha Col.Sultan Makenga na majeshi ya TZ, na sio majeshi ya Malawi or South Africa?? Nahisi inawezekana wengi wetu hatuelewi kinachoendelea DRC or tunafanya makusudi kupiga propaganda kwamba JWTZ ndio chagizo la kuanguka kwa M23...kitu ambacho sio kweli.
 
"....L'Avenir claims that Sultani Makenga, the military leader of the rebel 23 March Movement, was seriously injured in Monday's clash between M23 rebels and another armed group, the Force for the Defence of the Interests of the Congolese People. Makenga was initially treated in Sambya hospital in the Ugandan capital, Kampala, but has since been transferred to an unknown destination. Eight M23 fighters, including the group's second in command, Colonel India Queen, have been confirmed dead by M23 sources speaking to local television reporters.
L'Avenir wonders if the fate of Sultani Makenga signals the end of a rebel movement infamous for its disrespect for basic human rights, or if Monday's battle was simply an indication of Rwanda's determination to re-impose its authority over an armed group that has become ever more difficult to control?
The same paper points out that forces loyal to Bosco Ntaganda, currently awaiting trial before the International Criminal Court for crimes against humanity, are still active in the same area of Rutshuru. Many Ntaganda supporters regard Sultani Makenga as a traitor...."
African press review 20 June 2013 - - RFI
 
Mbona hayo mapambano yalikua kati ya M 23 na majeshi ya Congo? JWTZ inaingiaje hapo?

Hata Wakati wa kumtoa Mobutu, JWTZ haikutangazwa lakin kwenye kuaga Mwil wa Mwl Nyerere ndo Museven akafichua siri tarehe 23th October,1999 Kijijini Mwitongo Butiama wakat wa kumuaga Mwl, wakat wa kumtwanga Mreno JWTZ haikutangazwa ilikuwa inatangazwa Frelimo against Portugues, hata leo usishangai kusikia JWTZ HAITANGAZWI, ILA "MAN AT WORK".
 

Well said mkuu!
 
Mkuu Songoro maneno mazito sana.

 
Last edited by a moderator:

Mkuu Songoro, JWTZ ilikuwa enzi hizo. Kumbuka uozo unaouona elimu, hospitali hata huko jeshini upo. Kumbuka wengi wanaoajiriwa jeshini siyo kwa wito wa kulinda nchi yao, bali ajira. Hivyo wapo JWTZ kwa ajili ya kupata pesa. Usijeshangaa TZ ikipigwa na Rwanda na Malawi. JWTZ waliopo wengi ni wa chips mayai/mdebwedo.
 
Matibabu wanapata Uganda, Museveni akiaambiwa anawasaidia anakuja juu. Tanzania sijui bado inafanya nini EAC.
 
Unajua huwa wana macomf ya kipuuzi sana. Wana complex ya kujiona na dharau kwa yeyote asiyekua wa mbari yao. Tabia hiyo hua inawadhuru lakini hawaoni. Miaka mingi wameleta shida nyingi eneo la maziwa makuu kwa kugombea kuongoza dola kwa maslahi yao binafsi. Ni vema wasalimu amri na kukubali usawa na haki kwa wote na sio wachache kutaka kuhodhi dola.
 
kwanini akatibiwe uganda?Ina maana Museveni Naye ni adui yetu tena?

M7 na madogo wake Kagame wanacheza mchezo mchafu . Nima Imla hawana utu,hawana demokrasia kwenye nchi zao. To have a peaceful and prosperous EAC these guys must taken out of the equation.
 
UN walikuepo hapo siku nyingi na mchezo ukawa kama paka na panya huku waasi wakisaidiwa na rwanda na uganda wakitamba. Inshallah kwa msaada wa sadc ndugu zetu wa congo wataweza kuwatimua mamluki wanaopokea amri kutoka kigali.
 
walianza waidhani hawatakutana na kifo safi wanajeshi wa congo.
 
Taifa lenye watu wasiopenda kifikiria na kujisomea lina matatizo. juha kaanzisha thread ya uzushi, watu wakaanza kupoteza muda kutoa comments! Chanzo ni kipi? uongo tu, wastage of time!
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…