Mkuu wa M 23 Colonel Sultan Makenga is Dead

Status
Not open for further replies.

si wanadanganyika na siasa za jf kwamba ni dhaifu. Waache waonje joto la jiwe ni dhaifu kwa sisi waajiri wake tu, tutamlinda mpaka mwisho.
 

mkuu mbona enzi za FRELIMO ni zamani sana , huo mfano wako ni halali kweli kwenye ulimwengu huu wenye silaha za kisasa ?
 
Hata kama amekufa kwani hayo mapigano askari wetu wanahusika? Au ndoyale majanga afiwe mwingine pole na michango uchukue wewe? Ama kweli watanzania
 
mkuu mbona enzi za frelimo ni zamani sana , huo mfano wako ni halali kweli kwenye ulimwengu huu wenye silaha za kisasa ?

tatizo lako unataka mfano wa siku za karibuni? Kibaraka wa bosi wako kagame tumeshamrestisha in peace, bado kagame tunamlia timing.
 
hata kama amekufa kwani hayo mapigano askari wetu wanahusika? Au ndoyale majanga afiwe mwingine pole na michango uchukue wewe? Ama kweli watanzania

unafikiri kwanini ameuwawa mara baada ya jwtz kutia timu?
 
ishu ya DRC sio ulinzi wa amani....ni offensive
 
Wana JF huyu Makenga kazushiwa kifo mara nyingi sana, tusiihamini hii taarifa kiuraisi namna hii, tuvute subila, ila mimi nina waunga mkono M23, hivi mnajua M23 wanachokipinga?
 

sasa hii ni kweli, amini wanaume wapo kazini !
 
tatizo lako unataka mfano wa siku za karibuni? Kibaraka wa bosi wako kagame tumeshamrestisha in peace, bado kagame tunamlia timing.

Duh! Basi haya , kama magobole ya kuwinda swala nayo ni silaha .
 
tatizo lako unataka mfano wa siku za karibuni? Kibaraka wa bosi wako kagame tumeshamrestisha in peace, bado kagame tunamlia timing.
Mpe japo mfano wa 2008 visiwa vya Comoro
Mambo Ya JWTZ
Comoro..

Askari wa Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ) akiwa ameshikilia silaha nzito ya kivita katika Kisiwa cha Moheli nchini Comoro.

 


R.I.P Papaa Colonel Makenga!
 

Watanzania kwa unafiki!!! Huwawezi mkuu!
 
Wa Tz ni watu waajabu sana! Si mlisema wanajeshi wa tz hawaendi kupigana bali kulinda amani!

Wale walioko Congo wanaruhusa ya kupigana lakini siyo wale wa Darfu

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 

Mkuu inamaana wewe hujui tofauti ya kazi ya jeshi lililoko Sudani na Congo? Kama hujui basi uliza ujuzwe.
 
wana jf huyu makenga kazushiwa kifo mara nyingi sana, tusiihamini hii taarifa kiuraisi namna hii, tuvute subila, ila mimi nina waunga mkono m23, hivi mnajua m23 wanachokipinga?

amini usiamini hayupo nawe tena hapa duniani, ni muda wako wakujirekebisha na kumrudia muumba wako! Laani mauwaji ya wanawake na watoto wa drc
 
Kama taarifa hii ni yakweli...basi ni dalili njema kwa jeshi letu JWTZ, ila pole kwa marehemu na wafiwa.
 
Msikilize akihutubia makuruta, kiswahili kwa wingi anachanganya kinyarwanda na kiingereza kwa mbali

 
Last edited by a moderator:
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…