Mkuu wa M 23 Colonel Sultan Makenga is Dead

Status
Not open for further replies.

Nawe ni Great Tinker?
 
Hao ndio JWTZ! Mbona watatujua safari hii!
Ole wao walipe kisasi kwenye ardhi yetu TUTAPIGA hadi panya hawatasalia!!!
 

Fier

Kaka mission ya congo ni tofauti na darfur huko congo askari jeshi wetu wanakuwa Peace enforcer hio unakuwa unaruhusiwa hata kuwatafuta na kupiga waasi hata kama hawajakuchokoza! Ila darfur wale wanakuwa ma Peace keeper hio huwapigi ila unatumia diplomasia zaidi kutatua matatizo! Ndio maana wanajeshi wetu wanaomba tutumie article no 7 ambayo mnakuwa kama mpo uwanja wa mapambano! Tofauti na hio article 6 ambayo wanaitumia darfur
 

umesoma vizuri malengo na nia ya hizo
missions?angalia then utajijibu.
 
umhh RIP Vita mbaya warudi mezani bana
 

Waweza kuwa na silaha za kisasa lakini usiwe na mbinu za kupigana. Yawezekana JWTZ hawatumii silaha lakini wanafundisha mbinu kwa majeshi ya serikali ya congo.
 

Waweza kuwa na silaha za kisasa lakini usiwe na mbinu za kupigana. Yawezekana JWTZ hawatumii silaha lakini wanafundisha mbinu kwa majeshi ya serikali ya congo na mbinu hizo ndizo zilizoweza kufanikisha hatua hiyo muhimu.
 

Siraha ndio nini?

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Hao ndio JWTZ! Mbona watatujua safari hii!
Ole wao walipe kisasi kwenye ardhi yetu TUTAPIGA hadi panya hawatasalia!!!

tumechoka mauaji ya wanawake na watoto yanayoendelea kongo, tumechoka kejeli na dharau za kagame kwa Tanzania, SASA NI KUPIGA TU MPAKA KWA SLIM BOY.
 
umesoma vizuri malengo na nia ya hizo
missions?angalia then utajijibu.

anajua malengo ya majeshi ya un kongo? Zaidi ya kulala jf na koba kama walivyoagizwa na slim boy wakifikiri ushindi vitani unapatikana jf.
 

tatizo watu wapo huku kwa kuagizwa, hawajui hata maana ya article 6 na tofuti iliyopo na article 7
 
koba ndio mletaji habari khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee muulizeni.

umemjibu vema sana, ushabiki ni mbaya! Koba akileta propaganda za kigali mbona haulizi source ?
 
Boss wa kisiasa wa M23 Bertrand Bisimwa alimwandikia JK barua ya kumtisha, eti;
"...we have consistently prevailed over much larger and better equipped forces. The same will happen to the Intervention Brigade if your [JK] wisdom does not prevail to intervene and stop this dangerous adventure in its tracks. For this reason the M23 invites the parliament and the people of Tanzania to carefully reconsider this situation and prevail upon the Tanzanian Government… not to send the sons and daughters of this noble nation to engage in an absurd war against their Congolese brothers."

Naona sasa majibu ameanza kuyapata. Na huyo aliyesema 'I will hit you' majibu yake yako 'posta'.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…