Habari nilizozipata sasa hv ni kwamba Mkuu wa M 23 alijeruhiwa vibaya katika mapambano ya juzi yaliyoendeshwa na serikali ya Congo juzi, na baada ya kujeruhiwa akakimbizwa Uganda, Kampala kwa ajili ya matibabu ambako amefia huko.Ushindi unakaribia.Bravo kwa wapenda amani wote.

Blood thirsty. Hire me to be your proof reader. I'm joblessBloody thirst dictator at cross road now......!
Mnachonishangaza Watanzania ni pale mnapochanganya mambo Kule Daful Baada ya kuuawa wale wanajeshi wetu mlisema wanajeshi wanaolinda amani huwa hawaruhusiwi kuwa na Siraha sasa leo mnashabikia kuwa JWTZ ndo waliofanya juhudi hadi kuuawa huyo kiongozi wa M23 je walitumia fimbo, mawe au virungu? maana walinda amani hawatakiwi kuwa na Siraha.Kagame nadhan anausoma Mchezo wa JWTZ, M23 lazma waombe POO, kimya cha Tanzania hakimaanishi Uoga au Unyonge bali ni busara na Subira tulizojaaliwa na Mola wetu, Mama Joyce Banda kama kachoka kiti chake nae asogeze Mgambo wake mpakani! Ukitaka kujua shughuli ya Jwtz muulize Mreno wakati wa Mapambano ya Frelimo Msumbiji!