Tetesi: Mkuu wa jeshi la Magereza nchini huenda akatumbuliwa

Well said.
 
yu nailed fo sure truth b told though tough to endure
 
Mkuu hao Viumbe hawaguswagi kabisa Kabisa Kabisa Kabisa.
By the way,CGP alishastaafu since Mwaka jana akapewa one year extensio n

Untouchable ni CDF na yule wa kuleee DG...mwisho S, lakini hao majeshi madogo aah wanaguswa tu kama mbwai mbwai mbwai tu ametumia madaraka yake katika jeshi la magereza vibaya
 
huwa sielewi kwanini jeshi la magereza tangu lianze linaongozwa na wachaga sijajua nikwasababu gani sijui sijui nikwanini yani tangu lianzishwe.
Una uhakika na unachokisema Mkuu!! CGP Geneya CGP Mangara CGP Banzi CGP Nanyaro hawa walikuwa wachaga???
 
Ngoja watumbuliwe tu kwani hao viongozi wa magereza wanajiona kama jeshi la wananchi kamili. Hujichukulia madaraka. Kumbuka walivyotoa amri kwa wafungwa na askari magereza kuwapiga na kuwatoa kwa nguvu wafanyakazi wa ndege za serikali ns atcl wakiwemo marubani na wahandisi. Hii kashfa ilihusisha kupigwa waandishi wa habari waliokuwa katika eneo la tukio akiwemo mwandishi Bukuku. Laana hii itamtafuna Banzi na Omari mapuri kwa kusababisha baadhi ya marubani kupigwa na kupata athari iliyopelekes kifo cha kapteni Aboud Twalib
 
Dah...umeandika nini sasa?
 
yetu macho ngoja tuone
 
Duh aisee kwahiyo unadhani sare za jeshi zinashonwa kwa style hii kama sare za kitchen party,?
 
Huyo kapona
Kama angekuwa wa kutumbuliwa siunaumjua juma? huwa hacheleweshi

Sio kwenye kitengo nyeti chenye magwanda kama hicho, huko akienda hubeba na akili yake ya ziada na hafanyi bila ushauri wa mkuu wa majeshi.

Umesikia kuna mtu katumbuliwa JWTZ kwa kipindi hiki cha mwaka mmoja. Au unataka kusema huko ni kusafi sana.

Kutumbua mtu maeneo hayo si rahisi hivyoooo kama unavyofikiria. Hata Makonda akienda huko ni kuwamwagia sifa tu.

Nchi inawenyewe hii.
 
ahahaha kumbe hilo hatumbuliwi; nilifikiri alikutwa na wafungwa hewa
 

Hili la askari kununua sare kwa pesa binafsi linawezekana tu ikiwa uniform hazipatikani kwa wakati au mgao ni kidogo kuliko mahitaji bainafsi ya askari hivyo kulazimika kujinunulia. Ikiwa ziko store na zinapatikana kwanini askari akajinunulie? Pili hii kununua kwa wafanyabiashara binafsi nadhani si tatizo ila kinachotakikana ni vetting process ya hao suppliers. Majeshi yananunua vitu vingi kwa mahitaji yake toka watu binafsi si uniform peke yake. Na hii ni fursa kwa wafanyabiashara binafsi watanzania wanaoajiri watanzania wengine wa chini kwenye kutengeneza hizo nguo. La kushirikisha watu binafsi kwenye ujenzi hilo ni zito hasa nikikumbuka lile suala la Oysterbay police. Kwa lili nilidhani jilikuwa sahihi zaidi kushirikiana na taasisi nyingine za serikali kama mifuko ya pension na NHC.
 
Sio lazima vyote tujue mkuu, yapo yanafanyika ila sababu yanawahusu wenyewe, yana malizwa kwa wenyewe.

Nchi ina wenyewe, ila sio hawa.
 
hilo jina la babu yakeeeeee!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…