NGOMEKONGWE2021
JF-Expert Member
- Dec 6, 2021
- 616
- 1,254
Unajitekenya mwenyewe unacheka mwenyewe....Mkuu,
Lemutuz aisee mungu akuwekee sana msaada wako unaotoa kwa jamii hautaweza kusahaulika unafanya mambo makubwa sana kwenye japo watu wengi hawauoni au ni husuda za watu wenye vijiba vya roho tu.
Lemutuz ni mtu poa sana inshort ni Tajiri wa roho ila dunia ilivyo mti wenye matunda hupigwa mawe au Kuna mijitu ina [emoji813] mbaya au hawapendi mafanikio ya wenzao.
Mkuu kupitia Ile mishe nimejua na watu wengi na kupata madili ya mamilioni kwenye akauti now imetuna sana .
Mkuu lemutuz wewe ndiyo umeniinspire kujiunga na jamiiforum kutokana na kuwa mtu mwenye America spirit na usiyekuwa na mbambamba uko straight sana mkuu!
Hakika mkuu lemutuz we mtu safi inshort we Tajiri wa [emoji813] hauna mbambamba pia sijamsahau lumumbashi nal gaganiga nyie watu safi mungu awabless.
"Kama uko sensitive na chuki au kijiba cha roho huu uzi haukuhusu"
"Tanri kutsasin"
Nimeshuhudia member wa jamii forum akiliwa uroda na mstaafu kwenye gari yake.
Hii sio poa kabisa aisee jana wakati napata moja mbili tatu pale samaki samakifish market na wanangu ambao tulischool wote shule moja ya mzizima akiwepo mwanangu Gaganiga na lumumbashi tulishuhudia kuna member mmoja wa jamii forum akiliwa uroda na mzee mmoja hivi maarufu na mstaafu katika...www.jamiiforums.com
Kwasababu kuna mods alikuwa analiwa kiboga kwenye gari
Huu mwaka umeisha mapema sana
Wameufuta huu uzi cjui kwanini
Ulihusu nini?Wameufuta huu uzi cjui kwanini
Kijana Le Mutuz ni mtu poa sana.
Unapenda sana vya kupewa?? Vina madharaaa.Huyo tulikutana cap town akashindwa ninulia ata bia tatu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mpka nikanywa maji ya dasan
Unapenda sana vya kupewa?? Vina madharaaa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sawa dada lemutuzMkuu,
Lemutuz aisee mungu akuwekee sana msaada wako unaotoa kwa jamii hautaweza kusahaulika unafanya mambo makubwa sana kwenye japo watu wengi hawauoni au ni husuda za watu wenye vijiba vya roho tu.
Lemutuz ni mtu poa sana inshort ni Tajiri wa roho ila dunia ilivyo mti wenye matunda hupigwa mawe au Kuna mijitu ina ♥ mbaya au hawapendi mafanikio ya wenzao.
Mkuu kupitia Ile mishe nimejua na watu wengi na kupata madili ya mamilioni kwenye akauti now imetuna sana .
Mkuu lemutuz wewe ndiyo umeniinspire kujiunga na jamiiforum kutokana na kuwa mtu mwenye America spirit na usiyekuwa na mbambamba uko straight sana mkuu!
Hakika mkuu lemutuz we mtu safi inshort we Tajiri wa ♥ hauna mbambamba pia sijamsahau lumumbashi nal gaganiga nyie watu safi mungu awabless.
"Kama uko sensitive na chuki au kijiba cha roho huu uzi haukuhusu"
"Tanri kutsasin"
"Japo watu wengi hawauoni." Inamaana anatoa gizaniMkuu,