Mkuu anacheka nini ktk zoezi hili?

Mkuu anacheka nini ktk zoezi hili?

Hata miye nisingali maliza haraka kuiweka hiyo nishani. Waona vidole vilipo weye?? Aaaah wenzetu wanajifaidia tuu angalia huyo wa nyuma hapo anatoa mimacho kwa wivu. Mzee kachagua kiportable chaake.
 
Back
Top Bottom