Mkutano wa Zitto & Dr Kitila Mkumbo kuwa streamed LIVE

Status
Not open for further replies.
Ya wananchi gani??

Wa kaskazini au kusini??
Hivi vifaranga vya Zitto hamkati tamaa tu....si mkaanzishe chama chenu na mumfanye MM Mwenyekiti..mna bore aisee...yaani ni kama bint aliyejirahisisha kwa kiwango cha juu sana.
 
thubutu et NCCR? Mbatia hawezi kamwe kumpokea zitto.hawez sahau KAfulila alivyo msumbua.. jamaa hawafugikiki...
 
Huku Kanda ya ziwa magharibi (kagera, mwanza na geita) misingi inajengwa kwa kwenda mbele. Target ni wanachama 1,000,000 mpaka sasa tuko 1/3. CHAMA HIKI SASA NI ZAIDI YA MTU MMOJA. NI TAASISI.

Coallegue nakuaminia mwendo mdundo hakuna kulala chapa kazi
 
Wakuu mwenye kufahamu ratiba ya mazishi ya Chadema anitaarifu

Nitakujulisha mkuu ngoja tusubiri but I guess we could utilize time kukijenga CCM wakati hawa tunawaangalia manake nyumba ya jirani hii haituhusu
 
Ndo itakuwa nini sasa? Yote kwa yote si utakuwa mkutano tu kama mikutano mingine na vyombo vya habari?!
Hakuna asiyejua kama ataongea ya kuongea kwa uongo na kweli, kisha atakaa kimya yeye na wapambe wake Kama akina Shonza then maisha yataendelea.
Tunawasubiri.
 
samak n samak tu ukimtoa baharini kwishine!! oh mm papa oh mm nyangumi! sasa mbona unatapatapa? nyamba.f.u
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom