Mkutano wa UKAWA Mbeya kurushwa live ITV

Mkutano wa UKAWA Mbeya kurushwa live ITV

Status
Not open for further replies.

PRINCE CROWN

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2013
Posts
5,210
Reaction score
4,178
Naomba kunukuu kama ipitavyo chini ya luninga yangu.

Tunapenda kuwatangazia wapenzi watazamaji wetu kwamba, ifikapo saa kumi leo jioni itawaletea matangazo ya moja kwa moja ya mkutano wa kampeni wa chama cha CHADEMA, utakaofanyika kwenye viwanja vya Rwandanzovwe mjini Mbeya na kuhutubiwa na mgombea urais wa CHADEMA Mh. Edward Lowassa pamoja na viongozi wengine wa UKAWA.

Mwisho wa kunukuu, karibini sana wafahamishe na wengine.
 
Huu ni wa Tunduma au...Mwenyekiti si alisema leo asubuhi?
 
Mkuu Hata Wewe Ni Kondoo Aliyepotea, Yatupasa Kukurejeza Zizini, Mkutano Wa Mbeya Mjini Ndiyo Utakaoruka LIVE Kuanzia Saa Kumi Jioni Ya Leo. Ule Wa Tunduma Unaendelea Sasa Hivi Mkuu Wangu.
Leo mbona sioni updates?
 
Naomba Kunukuu Kama Ipitavyo Chini Ya Luninga Yangu.

>>>> TUNAPENDA KUWA TANGAZIA WAPENZI WATAZAMAJI WETU KWAMBA IFIKAPO SAA KUMI LEO JIONI ITAWALETEA MATANGAZO YA MOJA KWA MOJA YA MKUTANO WA KAMPENI WA CHAMA CHA CHADEMA UTAKAOFANYIKA KWENYE VIWANJA VYA RWANDANZOVWE MJINI MBEYA NA KUHUTUBIWA NA MGOMBEA URAIS WA CHADEMA MH. EDWARD LOWASSA PAMOJA NA VIONGOZI WENGINE WA UKAWA.

Mwisho Wa Kunukuu, KARIBINI SANA WAFAHAMISHE NA WENGINE.

Mkuu namalizia kupata glasi yangu ya mtindi hapa ihanda napiga moto ili niwahi kunuona rais mtarajiwa
 
Naomba Kunukuu Kama Ipitavyo Chini Ya Luninga Yangu.

>>>> TUNAPENDA KUWA TANGAZIA WAPENZI WATAZAMAJI WETU KWAMBA IFIKAPO SAA KUMI LEO JIONI ITAWALETEA MATANGAZO YA MOJA KWA MOJA YA MKUTANO WA KAMPENI WA CHAMA CHA CHADEMA UTAKAOFANYIKA KWENYE VIWANJA VYA RWANDANZOVWE MJINI MBEYA NA KUHUTUBIWA NA MGOMBEA URAIS WA CHADEMA MH. EDWARD LOWASSA PAMOJA NA VIONGOZI WENGINE WA UKAWA.

Mwisho Wa Kunukuu, KARIBINI SANA WAFAHAMISHE NA WENGINE.

mna nunua aitime ya saa mbili halafu edward anaongea dk 6 zilizobaki ni yule mzee wa ndembendembe mara kifo cha mende sijui nini nil
 
Tuna msubiri sana rais wetu kipenzi hapa mbeya na leo ndio ccm watajua kuwa mbeya ina wenyewe na wenyewe ni wana mabadiliko, viva cdm, ukawa, rais lowasa
 
Mgombea wa UKAWA haendi kwenye mdahalo wa wazi kwa wagombea urais JMT? Leo 18.10.2015 kwenye MkikiMkiki ni mdahalo wnaotaka urais. CDM mmekimbia mdahalo?? Mmeshindwa kujenga kwa nini mnataka mkabidhiwe nchi? Mtatekelezaje ahadi zenu. Tangu Dr Slaa aondoke,CDM wamebaki kwenye siasa za majukwaani,hawaulizwi wala hawataki maswali. Ukiuliza,wanakwambia umetumwa,buku 7,na matusi kibao. CDM maslahi acheni uhuni
 
wewe mbona Raisi wako 2010 alitoka nduki?
 
Huu ni wa Tunduma au...Mwenyekiti si alisema leo asubuhi?
Soma vizuri mkuu, Mbeya ni saa kumi jioni ya leo!

Dozi inaendelea, lazima tuelewane tu!

CCM ni kazi na dawa.

UKAWA ni kazi na sala!
 
mna nunua aitime ya saa mbili halafu edward anaongea dk 6 zilizobaki ni yule mzee wa ndembendembe mara kifo cha mende sijui nini nil

Tulia unyolewe wewe mbona haya hayakuhusu?
VIVA UKAWA!!!!
 
Siku mbaya sana hii ya leo,watu ndio tunapumzika mambo mengi huku natamani kuwaona wanamabadiliko wenzangu + rais mtarajiwa...
Kila la kheri wenzetu huko Mbeya
 
Mgombea wa UKAWA haendi kwenye mdahalo wa wazi kwa wagombea urais JMT? Leo 18.10.2015 kwenye MkikiMkiki ni mdahalo wnaotaka urais.

Ndio haendi.
CDM mmekimbia mdahalo??
Hapana hamna aliyekimbia mdahalo.
Mmeshindwa kujenga kwa nini mnataka mkabidhiwe nchi? Mtatekelezaje ahadi zenu.
Mbona kikwete 2010 hakutokea?? na mbona ni rais wako??
Tangu Dr Slaa aondoke,CDM wamebaki kwenye siasa za majukwaani,hawaulizwi wala hawataki maswali. Ukiuliza,wanakwambia umetumwa,buku 7,na matusi kibao. CDM maslahi acheni uhuni
Si kweli.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom