MAFUNGUO KUFULI
Senior Member
- Jul 28, 2015
- 138
- 39
Umeme huku ars walouzima saa tisa sababu ni zile zile,sera za rais eduward tusifuatilie kwa karibu,ila wajue tu ya kwamba tumwone au tusimwone,tumsikie ama tusimsikie,
mabadiliko ya kuizika ccm hapo okt,25;2015 ni hakika,
na lowassa ndiye rais wetu wa tano wa jmt.fulu stopu!
mabadiliko ya kuizika ccm hapo okt,25;2015 ni hakika,
na lowassa ndiye rais wetu wa tano wa jmt.fulu stopu!
naomba kunukuu kama ipitavyo chini ya luninga yangu.
Tunapenda kuwatangazia wapenzi watazamaji wetu kwamba, ifikapo saa kumi leo jioni itawaletea matangazo ya moja kwa moja ya mkutano wa kampeni wa chama cha chadema, utakaofanyika kwenye viwanja vya rwandanzovwe mjini mbeya na kuhutubiwa na mgombea urais wa chadema mh. Edward lowassa pamoja na viongozi wengine wa ukawa.
Mwisho wa kunukuu, karibini sana wafahamishe na wengine.