Mkutano wa UKAWA Mbeya kurushwa live ITV

Status
Not open for further replies.
mm naona kuanzia hiyo saa umeme utakatwa itakuwaje???au na ss tutawakata october25,
 
Naomba kunukuu kama ipitavyo chini ya luninga yangu.

Tunapenda kuwatangazia wapenzi watazamaji wetu kwamba, ifikapo saa kumi leo jioni itawaletea matangazo ya moja kwa moja ya mkutano wa kampeni wa chama cha CHADEMA, utakaofanyika kwenye viwanja vya Rwandanzovwe mjini Mbeya na kuhutubiwa na mgombea urais wa CHADEMA Mh. Edward Lowassa pamoja na viongozi wengine wa UKAWA.

Mwisho wa kunukuu, karibini sana wafahamishe na wengine.
Wana UKAWA tunangoja.

Huu ni wa Tunduma au...Mwenyekiti si alisema leo asubuhi?
Mambo ya ccm yamekushinda ya UKAWA na Lowassa rais wetu utayaweza. Fwata yenu!!
lowasa.jpg
 
Mgombea wa UKAWA haendi kwenye mdahalo wa wazi kwa wagombea urais JMT? Leo 18.10.2015 kwenye MkikiMkiki ni mdahalo wnaotaka urais. CDM mmekimbia mdahalo?? Mmeshindwa kujenga kwa nini mnataka mkabidhiwe nchi? Mtatekelezaje ahadi zenu. Tangu Dr Slaa aondoke,CDM wamebaki kwenye siasa za majukwaani,hawaulizwi wala hawataki maswali. Ukiuliza,wanakwambia umetumwa,buku 7,na matusi kibao. CDM maslahi acheni uhuni
mdahalo huu ulioandaliwa na Twaweza? Nani atahangaika na hao mamluki ?
 
Naomba kunukuu kama ipitavyo chini ya luninga yangu.

Tunapenda kuwatangazia wapenzi watazamaji wetu kwamba, ifikapo saa kumi leo jioni itawaletea matangazo ya moja kwa moja ya mkutano wa kampeni wa chama cha CHADEMA, utakaofanyika kwenye viwanja vya Rwandanzovwe mjini Mbeya na kuhutubiwa na mgombea urais wa CHADEMA Mh. Edward Lowassa pamoja na viongozi wengine wa UKAWA.

Mwisho wa kunukuu, karibini sana wafahamishe na wengine.

Jana alirudi Dar kwa (matibabu?) atawahi kweli au itatolewa sababu ile ya mitambo kukorofisha
 
Tunasubiria. Ili mradi mic au vipaza sauti hazitakabwa koo na wabaya wale

Naomba kunukuu kama ipitavyo chini ya luninga yangu.

Tunapenda kuwatangazia wapenzi watazamaji wetu kwamba, ifikapo saa kumi leo jioni itawaletea matangazo ya moja kwa moja ya mkutano wa kampeni wa chama cha CHADEMA, utakaofanyika kwenye viwanja vya Rwandanzovwe mjini Mbeya na kuhutubiwa na mgombea urais wa CHADEMA Mh. Edward Lowassa pamoja na viongozi wengine wa UKAWA.

Mwisho wa kunukuu, karibini sana wafahamishe na wengine.
 
Tulia unyolewe wewe mbona haya hayakuhusu?
VIVA UKAWA!!!!

Kufafanua Irani ni kazi ya katibu wa chama, mgombea uraisi yeye anapaswa kuelezea vision na vipaumbele vyake katika hiyo Irani.

Ndiyo maana Lowassa anatumia muda mfupi kumaliza hotuba zake. Ukawa wako Digital zaidi, ni vigumu sana kuelewa hili mtu wa CCM kama wewe maana bado mko Analogy zaidi.

CCM Mmezoea kupigwa kabobo sana, kusikiliza maneno matamu ambayo haya tekelezeki. Mtu anataja vipaumbele zaidi ya 30, mnashangilia bila kujiuliza atatekelezaje ndani ya kipindi cha miaka 5 tu.

Hamu wezi hata kulinganisha jinsi ahadi karibu zote za mtawala anaye maliza muda wake kutoka chama kile kile alivyoshindwa kuzitekeleza.

Hamuoni kuwa ahadi zilezile zilizoshindikana pamoja na nyingine mpya nyingi zinaendelea kitolewa nyie mnashangilia tu.

Hayo manguo ya kijani si bure, maana mtu akivaa ana kuwa mjinga kweli kweli.

Mtu mwenye Vision , Bw. Lowassa, ameliona tatizo la wa Tanzania kuwa ni ujinga. Ndiyo maana katika vipaumbele vyake 3 kabla ya vingine ni
1.Elimu
2.Elimu
3.Elimu
 
Mgombea wa UKAWA haendi kwenye mdahalo wa wazi kwa wagombea urais JMT? Leo 18.10.2015 kwenye MkikiMkiki ni mdahalo wnaotaka urais. CDM mmekimbia mdahalo?? Mmeshindwa kujenga kwa nini mnataka mkabidhiwe nchi? Mtatekelezaje ahadi zenu. Tangu Dr Slaa aondoke,CDM wamebaki kwenye siasa za majukwaani,hawaulizwi wala hawataki maswali. Ukiuliza,wanakwambia umetumwa,buku 7,na matusi kibao. CDM maslahi acheni uhuni

Rais wako yuko bize mdahalo ataufanyia ikulu mkuu, viva mh. Edward Lowassa
 
Star tv watakosa watazamaji jamani hii ni kuhujumu mdahalo
 
ITV Leo msitudanganye kwani tunatenga muda kumuaangalia our president, please itv
 
Mgombea wa UKAWA haendi kwenye mdahalo wa wazi kwa wagombea urais JMT? Leo 18.10.2015 kwenye MkikiMkiki ni mdahalo wnaotaka urais. CDM mmekimbia mdahalo?? Mmeshindwa kujenga kwa nini mnataka mkabidhiwe nchi? Mtatekelezaje ahadi zenu. Tangu Dr Slaa aondoke,CDM wamebaki kwenye siasa za majukwaani,hawaulizwi wala hawataki maswali. Ukiuliza,wanakwambia umetumwa,buku 7,na matusi kibao. CDM maslahi acheni uhuni

Mkuu bato, mimi siyo mwanachama wa chama chochote cha siasa... Ni mtanganyika mzalendo. UKAWA tangu mwanzo walijibu 'kiume' kuwa kutokana na ratiba ya kampeni, mgombea wao hatashiriki. Ni jambo la kusifiwa kuwa wamesimamia msimamo huo. Ccm kama walivyozoea kudanganya umma, walidanganya kuwa watashiriki! Ajabu leo baada ya saa sita mchana wamegeuka kuwa hawatashiriki tena! Asante, uwe na siku njema mkuu.
 
Kwa mwana ccm kuukubali ukweli ni ndoto
 
Niko uwanjani,watu ni wengi sana na bado wanaendelea kumiminika!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom