Mkutano wa UKAWA Gairo waingia dosari...

combra

Senior Member
Joined
May 28, 2012
Posts
130
Reaction score
31
nipo kwenye mkutano wa ufunguzi wa ubunge katika jimbo la Gairo morogoro mkutano adi sasa haujulikani utafanyikia wapi baada mkufukuzwa uwanjani ambako ulikuwa ufanyike mkutano.lkn uwanja huohuo jana ccm walifanyia mkutano wa ufunguzi.
chadema wajipange kabla ya kufanya mambo yao.
 
bahati mbaya nipo mbali, ningekuwa hapo karibu ninge deal na anayefukuza watu hapo.

i.e angekuta nyumba yake imetapakaa kinyesi kuta zote wakati tunapanga hatua kali zaidi kiutekelezaji.
 
Hawafukuzwi DSM waje wafukuzwe Gairo? Wafukuzwe kwani wamefanya nini?
 
nipo kwenye mkutano wa ufunguzi wa ubunge katika jimbo la Gairo morogoro mkutano adi sasa haujulikani utafanyikia wapi baada mkufukuzwa uwanjani ambako ulikuwa ufanyike mkutano.lkn uwanja huohuo jana ccm walifanyia mkutano wa ufunguzi.
chadema wajipange kabla ya kufanya mambo yao.

tupe sababu za kufukuzwa usitoe taarifa nusu nusu
 
nipo kwenye mkutano wa ufunguzi wa ubunge katika jimbo la Gairo morogoro mkutano adi sasa haujulikani utafanyikia wapi baada mkufukuzwa uwanjani ambako ulikuwa ufanyike mkutano.lkn uwanja huohuo jana ccm walifanyia mkutano wa ufunguzi.
chadema wajipange kabla ya kufanya mambo yao.

Sasa wewe uko kwenye huo mkutano halafu unatuambia tena hujui utafanyikia wapi? Hapa unatuchanganya
 
Hapo kwenye hilo jimbo ndoo ya maji Lita 20 ni sh 1000 halafu hayapatikani kirahisi hivyoo
 
CCM wamejimwaga mitandao ya kijamii kupiga propaganda mbaya baada ya kipigo na mshtuko wa kisaikolojia jana jangwani. Vita inayofanywa mtandaoni haitafanikiwa wakati wapiga kura wanajiandaa kuipiga mweleka wa nguvu tarehe 25/10/15
 
yanaitwa majuha ya ccm mataira fresh yanayo zalishwa na majizi ya ccm!
 
nipo kwenye mkutano wa ufunguzi wa ubunge katika jimbo la Gairo morogoro mkutano adi sasa haujulikani utafanyikia wapi baada mkufukuzwa uwanjani ambako ulikuwa ufanyike mkutano.lkn uwanja huohuo jana ccm walifanyia mkutano wa ufunguzi.
chadema wajipange kabla ya kufanya mambo yao.

Hii taarifa haijakamilika, tupe sababu za kufukuzwa
 
Salim Yusuph Mpanda endelea kuwapa presha hao jamaa maana nilikuwa na mtu wao mmoja akawa ananiambia kuwa katika jimbo linalowaumiza kichwa ni pamoja na Gairo. umefanya kazi kubwa na hii yote sio kwa sababu ulitaka bali ni mapenzi yake mwenyezi Mungu ili uwakomboe wanaGairo kutoka katika minyororo ya utumwa waliyofungwa nayo kwa miaka mingi.
 
nipo kwenye mkutano wa ufunguzi wa ubunge katika jimbo la Gairo morogoro mkutano adi sasa haujulikani utafanyikia wapi baada mkufukuzwa uwanjani ambako ulikuwa ufanyike mkutano.lkn uwanja huohuo jana ccm walifanyia mkutano wa ufunguzi.
chadema wajipange kabla ya kufanya mambo yao.

Hivi ukoje? Unajuwa ukienda kinyume na mabadiliko unakuwa kama punguani hivi!
Hiyo hali ya hapo unaiona sawa? Wakagulu bana! We goloko, digita dikubuma!
Tuliia ucheze! Ooooooh sorry Nyenye!!?
 
CCM wamejimwaga mitandao ya kijamii kupiga propaganda mbaya baada ya kipigo na mshtuko wa kisaikolojia jana jangwani. Vita inayofanywa mtandaoni haitafanikiwa wakati wapiga kura wanajiandaa kuipiga mweleka wa nguvu tarehe 25/10/15

Hii vita ya mtandaoni itafanikiwaje wakati mpaka dakika hii UK ndio wanaongozi pote.Nchi kavu,angani na majini.
 
Back
Top Bottom