Radhia Sweety
JF-Expert Member
- Aug 10, 2011
- 4,433
- 1,772
Gairo kwichaka chadema.
bahati mbaya nipo mbali, ningekuwa hapo karibu ninge deal na anayefukuza watu hapo.
i.e angekuta nyumba yake imetapakaa kinyesi kuta zote wakati tunapanga hatua kali zaidi kiutekelezaji.
Karibu kwenye TEAM MAGUFULInipo kwenye mkutano wa ufunguzi wa ubunge katika jimbo la Gairo morogoro mkutano adi sasa haujulikani utafanyikia wapi baada mkufukuzwa uwanjani ambako ulikuwa ufanyike mkutano.lkn uwanja huohuo jana ccm walifanyia mkutano wa ufunguzi.
chadema wajipange kabla ya kufanya mambo yao.