Elections 2010 Mkutano wa Slaa Mbeya!

Kuna mdau amenihabarisha kuwa Slaa amemaliza kuhutubia na askari wa FFU wanalipua mabomu ya machozi all the way toka maeneo ya CCM kuelekea Mwanjelwa

MY TAKE
Unabii wa Slaa naona ndo unakamilika bse aliwahi sema CCM ndo wataleta fujo b'se wao ndo wenye dola na kutoa amri
 
nipo mbali lakini nimeongea na aliyepo kwenye tukio anasema kuwa watu walimaliza kumsikiliza Dr. Slaa wakati wanarudi nyumbani wale wa mwanjelwa na sehemu zingine ndio wamepigwa
 
Nina wasi wasi labda ndo ule mpango wa kuwakamata vijana na kuwaweka loka up mpaka monday ili wasipige kura kama viakao vya siri ndani ya CCM vinavyonukuliwa
 
Afadhali nihamie hapa, huko jangwani wanaongea upupu mtupu, full pumba hata kitimoto hali!!! naona kama vile wamechanganyikiwa vile
 
Mbeya Hiajawahi Kutokea! Kitu ninchoweza kwa Hakika ni kwamba Sugu Mbunge wa Mbeya Mjini, Nilikuwepo Kwenye Mkutano nimeona kwa macho yangu Umati wa watu Uliokusanyika Ukakubali Kuungua kwa Jua kuanzai Saa Nne Asubuhi mpaka Saa Kumi! kilichotokea Mbeya Leo kitakuwa Kwenye Kumbukumbu za CCM mpaka pale itakapoelekea Kaburini

Bahati mbaya sikuwa na Picha, Ila naweza kusema bila wasiwasi kwamba Makumi Elfu ya Watu walihudhuria na walikuwa wanahamasika muda wote wa kampeni

Polisi wamepiga Raia wema waliokuwa kwenye Vituo wakisubiri Dala dala kuelekea Makwao

Shame on you Nyombi Dhambi uliyoifanya leo Itaigharimu CCM kwenye Sanduku la Kura Kesho
 
Jamani nilisikia mpango flani kwa mtu ambaye mimi naamini ni wale intelijinsia wa taifa, anasema leo kutakua na kamatakamat sana na ukishakamatwa leo ndo ntolee hadi j3 lengo ni kuwafanya vijana wengi wasipige kura so sishangai kinachotkea huko mbeya saa hivi! POLENI
 
Mbeya Hiajawahi Kutokea! Kitu ninchoweza kwa Hakika ni kwamba Sugu Mbunge wa Mbeya Mjini, Nilikuwepo Kwenye Mkutano nimeona kwa macho yangu Umati wa watu Uliokusanyika Ukakubali Kuungua kwa Jua kuanzai Saa Nne Asubuhi mpaka Saa Kumi! kilichotokea Mbeya Leo kitakuwa Kwenye Kumbukumbu za CCM mpaka pale itakapoelekea Kaburini

Bahati mbaya sikuwa na Picha, Ila naweza kusema bila wasiwasi kwamba Makumi Elfu ya Watu walihudhuria na walikuwa wanahamasika muda wote wa kampeni

Polisi wamepiga Raia wema waliokuwa kwenye Vituo wakisubiri Dala dala kuelekea Makwao

Shame on you Nyombi Dhambi uliyoifanya leo Itaigharimu CCM kwenye Sanduku la Kura Kesho

Asante kutuhabarisha. Lakini kulitokea nini mpaka polisi wakaamua kupiga hayo mabomu?
 
Left wing ulikosa ata simu ya mchina utuhabarishe jama ktk lugha ya picha
Mkuu kamata kamata ipo si unajua vijana ndo wenye mwamko
 
Jamani huwezi kuamini, data nilizopata zinatisha, CCM mbeya imemuunga mkono Dr. Slaa, na hivi sasa CCM mkoa wa Mbeya wako mkutanoni kwa Dr. Slaa na viwanja vyenyewe ni mahala panaitwa CCM Ilomba. Barabara ya kutoka Dar kwenda Mbeya imefungwa eneo hilo kutokana na umati wa watu kwa zaidi ya masaa mawili.

Sasa hivi abiria wanaotoka Iringa na Dar kwa furaha kabisa wameamua washuke ili wakamsikilize mwanamapinduzi wa kweli Dr. Slaa

Mkuu Nilikuwa Kwenye Mkutano na Hicho Kitu sasa hivi kinaitwa CHADEMA
 
Mbeya Hiajawahi Kutokea! Kitu ninchoweza kwa Hakika ni kwamba Sugu Mbunge wa Mbeya Mjini, Nilikuwepo Kwenye Mkutano nimeona kwa macho yangu Umati wa watu Uliokusanyika Ukakubali Kuungua kwa Jua kuanzai Saa Nne Asubuhi mpaka Saa Kumi! kilichotokea Mbeya Leo kitakuwa Kwenye Kumbukumbu za CCM mpaka pale itakapoelekea Kaburini

Bahati mbaya sikuwa na Picha, Ila naweza kusema bila wasiwasi kwamba Makumi Elfu ya Watu walihudhuria na walikuwa wanahamasika muda wote wa kampeni

Polisi wamepiga Raia wema waliokuwa kwenye Vituo wakisubiri Dala dala kuelekea Makwao

Shame on you Nyombi Dhambi uliyoifanya leo Itaigharimu CCM kwenye Sanduku la Kura Kesho
wewe jamaa hii post yako imenitoa machozi Mung yupo jamani .wanyonge haki yetu ipo mikononi mwetu
 
Kilichotokea leo jijini Mbeya ni aibu kwa Jeshi la Polisi, CCM na serikali yake. Wamewapiga mabomu watoto waliokuwa wakicheza muziki uliokuwa ukipigwa na gari la CHADEMA, wamepiga mabomu wananchi waliokuwa wakisubiri usafiri kwenye vituo hapo ulipofanyika mkutano baada ya mkutanoni, wapiga mabomu kwenye nyumba za watu, ilikuwa ni fujo.

Hasira za wananchi hao zitaishia kwenye kisanduku cha kura kesho na wameapa kuchagua madiwani, mbunge na Rais toka CHADEMA
 
MY TAKE
Unabii wa Slaa naona ndo unakamilika bse aliwahi sema CCM ndo wataleta fujo b'se wao ndo wenye dola na kutoa amri

Mabadiliko siyo lelemama.aliyeko madarakani kumnyang'anya tonge siyo utani ...........tujiandae kuudai uhuru wetu.............
 
Nimesikia kuwa CCM wameambizana kuwahi kupiga kura asubuhi sana baada ya hapo green gaurd wata azisha fujo wakiwa na kombati za CHADEMA NI KWELI?
 
Asante kutuhabarisha. Lakini kulitokea nini mpaka polisi wakaamua kupiga hayo mabomu?

Mkuu Nilikuwa katika Mkutano na baada ya Mkutano Maelfu ya Watu waliusindikiza Msafara wa Dr. Slaa Gari la Polisi lilikuwa Mbele likifuatiwa na gari Lililombeba Slaa halafu Nyuma kukawa na gari nyingine ya polisi, watu walikuwa ni Wengi sana na walikuwa wanafata nyuma na Msafara mimi nikiwa mmoja wao. Baada ya Dr. Slaa kuondoka Polisi wakarudi kule ulikokuwa Mkutano na kukuta kuna watu wako kwenye kituo cha Dala dala wakisubiri Usafiri ndipo wakaanza kuwarushia Mabomu

Hili Jambo litakuwa limemshushia sana JK credibility yake na nadhani litaongeza hasira za Wapiga Kura kwa Sababu walioathirika ni Wamama ambao hata hawakuwa wanafanya fujo zaidi ya Kusubiria Usafiri ambao kwa kweli leo ulikuwa na Usumbufu sana

Hata hivyo Doctor Slaa ameaomba Vijana Leo kurudi Nyumbani Mapema ili kuepusha kamata kamata

Sikuwa na Kamera ila nafanya mpango nipate picha niziweke hapa

Kilichotokea Leo kimenisisimua na Kunitoa machozi jinsi watu walivyohamaska , si wamama si Vijana

CCM Kwaheri Mbeya
 
Kilichotokea leo jijini Mbeya ni aibu kwa Jeshi la Polisi, CCM na serikali yake. Wamewapiga mabomu watoto waliokuwa wakicheza muziki uliokuwa ukipigwa na gari la CHADEMA, wamepiga mabomu wananchi waliokuwa wakisubiri usafiri kwenye vituo hapo ulipofanyika mkutano baada ya mkutanoni, wapiga mabomu kwenye nyumba za watu, ilikuwa ni fujo.

Hasira za wananchi hao zitaishia kwenye kisanduku cha kura kesho na wameapa kuchagua madiwani, mbunge na Rais toka CHADEMA

Mkuu Nsesi Nimeshangaa sana ila kwa hili CCM isidhani itasemehewa Mbeya hili suala litaka kichwani kwa wale watoto waliokuwa wanacheza Mziki na wengine Wakicheza Mpira Pale! Hakukuwa na Sababu ya Kupiga Mabomu Ukizingatia kwamba Watu walishatawanyika

Mkutano wa Slaa umeanza Saa Saba Mchana lakini Gari la Kuwasha limefika saa Sika Can you imagine this

Kwa Nilichokiona na Kukisikia leo kwa wana Mbeya naweza kusema bila Kumung'unya kwamba wasipoiba Kura kesjho CCM inazikwa Mbeya
 
Back
Top Bottom