Mkutano wa Shein London Wavamiwa na Wazimbabwe & BALOZI MAJAAR vs JF

Enigma

Senior Member
Feb 29, 2008
109
62
Naona wakati mkutano ukianza, Dr. Shein alikuwa interrupted na waandamanaji Wazimbabwe, waliopinga kitendo cha Tanzania kukaa kimya hali ni mwenyekiti wa AU.

Mengi yataendelea kuwafikia. Baadae kidogo.
 
Hao wazimbabwe wanatka Tanzania ifanyeje??

Mie kwanza nimeshaanza kupata Hasira,KWanini US na Uk wanaanza kuingilia mambo ya Afriak?Kwani Zim ni koloni la Muingereza??Mie nadhani bado tumuache Mugabe atawale huku tukisubiri mtu mwingine mwenye kuweza kuongoza Zim kwa manufaa ya waafriak na sio kuendeshwa na mtu ambaye yuko london au Washington.
 
Mkutano umeisha. Hamna cha maana sana, ni yaleyale. Kawaomba Diaspora wajitahidi kucontribute maendeleo nyumbani.
 
iwapo mkuu wa AU anashindwa kuingilia mambo ya zimbabwe si ndo kuwapa chance wazungu kufungua mdomo?
JK alipaswa kusema lolote kwa ajili ya zimbabwe sio kunyamaza tu
 
Hao wazimbabwe wanatka Tanzania ifanyeje??

Mie kwanza nimeshaanza kupata Hasira,KWanini US na Uk wanaanza kuingilia mambo ya Afriak?Kwani Zim ni koloni la Muingereza??Mie nadhani bado tumuache Mugabe atawale huku tukisubiri mtu mwingine mwenye kuweza kuongoza Zim kwa manufaa ya waafriak na sio kuendeshwa na mtu ambaye yuko london au Washington.

Gembe wewe ni "saikatriki problem"
 
Tukiachilia mbali heckling iliyotokea na siasa za Tanzania, kuna muhimu katika forum hii pia yaliyoongelewa; yakiwemo opportunities and challenges for Diaspora. Pia mambo ya job markets. Acha niishie hapa.
 
Endelea tu bwana Enigma, usituachie hii enigma!sema jamani.
 
Kongamano likiwa bado linaendelea, Kitila Mkumbo kamlima maswali gavana wa BoT kwa kushindwa kuongelea ufisadi uliotokea pale benkini. Watu wamemshangilia.
 
Gavana kajibu nini?au naye kawa bubu kiaina?
 
Balozi Maajar analaumu blogs (jf included) kwa kutukana watu/viongozi na anasema tuko out of touch. Hatujiungi na TA (tanzania association)
 
Balozi anamshambulia Kitila moja kwa moja. Kachukia Kitila kuongelea EPA.
 
Hawataki kuambiwa ukweli, its typical of them. Badala ya kujibu swali anatoa lawama. Ulizeni maswali hiyo ni janja yake kutaka kuwatisha msiulize maswali.
 
Hao wazimbabwe wanatka Tanzania ifanyeje??

Mie kwanza nimeshaanza kupata Hasira,KWanini US na Uk wanaanza kuingilia mambo ya Afriak?Kwani Zim ni koloni la Muingereza??Mie nadhani bado tumuache Mugabe atawale huku tukisubiri mtu mwingine mwenye kuweza kuongoza Zim kwa manufaa ya waafriak na sio kuendeshwa na mtu ambaye yuko london au Washington.

Nafikiri hmaanishi kwamba Mugabe is so far the only one who can lead that country!! MDC kuna vichwa kibao tu vinaweza mambo isipokuwa sisi tumezoea kusikiliza propaganda za wazee kuwa wakoloni wanatumia njia za kututawala kumbe ni hawa hawa akina CCM, ZANU, ANC etc. ndiyo wanatakakutawala maisha. Mbona Zambia, Malawi na Kenya wamebadili lakini mambo yao bado yako sawa tu na sisi may be wako juu zaidi yetu?? Unataka kuniambia Tvyangarai, Chiluba ua JK wanatofauti gani kubwa katika kuongoza. Tuachane na siasa za danganya toto ili wao tu ndiyo watawale!!!!!!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom