Lakini sasa Mtanzania na GT imekuwaje tena juzi hatukuonana? Nilikuwa karibu kabisa na Nora nikijua nitawabamba lakini wapi?
Kitila,
Mimi nilikuona, nilikusalimia na pia nikakuaga wakati wa kuondoka. Hata swali nilikuuliza wakati unasimamia workshop ya skills opportunities for diaspora.
Ni bora tukabaki tulivyo maana vinginevyo tutaanza kuwa marafiki na kuaanza kuona haya inapobidi kumkoma nyani.
GT nilimwona kwa mbali, sikutaka kumsogelea maana huyo ni Dr.WHO angeweza kunitambua.